Parapanda Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Parapanda - Ambassadors of Christ Choir
...
trumpet...
Parapanda ya bwana i karibu uuu
Parapanda karibu kusikika aaa
Wazima wote, wote watasikia
Na waliokufa wote wafufuke
Waliomsubiri watavikwa taji zinazong'aa
Bali waovu watakimbia uso wake eee
K. Eee Yesu...
Tutamuonaaa
Mfalme wetuuuu... Yesu akirudiiiiiiii
Tutafurahi tupumzike wote tulioshindaaa
Nao malaika.... (woteee)
Wapige pandaaa... nyingi za ushindiiii
Na tutarukaaa mawinguni tumlaki mfalme wetuuuu
sound beat....
Watakaokuwa ni washindiiiii
Watafurahia ajabuuu
Na majina yao yataitwaaaaa
Naye Yesu mwokozi waoooo
Wataruka kwa furaha anganiiii
Wakiongozwa naye Yesuuuuu
Nyimbo tamu, zitasikika angani
Ndugu yangu usikose paleeeee
Utakuwa wapi siku hiyo nduguuu?
Utakuwa wapi siku hiyoooo?
Mwokozi Yesu atakapoyaitaaa
Majina yao aliyowakomboaaa
Walioyavua mavazi katika damu ya Yesuu
Wakavumilia hadi kufika mwishooo.
K. Eee Yesu...
Tutamuonaaa...
Mfalme wetuuuu... Yesu akirudiiii
(Tenaaa...)
Tutafurahi tupumzike woteee tulioshindaaa
Nao malaika....
Wapige pandaaa... nyingi za ushindiiii
Na tutarukaaa mawinguni tumlaki mfalme wetuuu
Na tutarukaaa mawinguni tumlaki mfalme wetuuuuu!!!
written by @bhm classic vibe