Loading...

Download
 • Genre:Gospel
 • Year of Release:2022

Lyrics

Nimukupata Yesu - Ambassadors of Christ Choir

...

Nimekupata Yesu Nimepata yote Nimekupata Bwana Sitahitaji tena Wewe ndiwe hitaji langu Ngome yangu na mwamba Tegemeo langu katika hali zote Jaza moyo wangu Upendo nikupende Urafiki wa kweli nifundishe kupenda Bwana Maana upendo wako ndio pekee waweza Kunifanya kiumbe kipya nikakufuate... Natamani nitembee katika upendo wa Bwana Upendo ule wa dhati Upendo usiobagua Upendo uletao hekima, busara na amani Upendo wa kimbingu pekee ulio bora ×2 Wapenzi wa dunia wengi wadanganyifu Niwapo katika hali nzuri tuko wote Lakini katika matatizo wote wanikimbia Wewe nimekupata nitakushikilia... natamani nitembee katika upendo wa Bwana upendo ule wa dhati upendo usiobagua upendo uletao hekima busara na amani upendo wa kimbingu pekee ulio bora ×2 Nakukarubisha Bwana Uyatawale maisha yetu ya kila siku Tufundishe kupanda na upendo wa dhati mwisho wa nyakati Tuweze kuvuna matunda ya ukamilifu Kamilisha upendo kwa waliooana Dumisha ndoa zao furaha itawale Bwana mbebeleza unyonge na udhaifu wao Familia iwe mwana wa mbingu huku Natamani nitembee katika upendo wa Bwana Upendo ule wa dhati Upendo usiobagua Upendo uletao hekima busara na amani Upendo wa kimbingu pekee ulio bora ×3

Similar Songs

Listen to Ambassadors of Christ Choir Nimukupata Yesu MP3 song. Nimukupata Yesu song from album Siku Za Kilio Zimepita is released in 2022. The duration of song is 00:04:51. The song is sung by Ambassadors of Christ Choir.

Related Tags: Nimukupata Yesu, Nimukupata Yesu song, Nimukupata Yesu MP3 song, Nimukupata Yesu MP3, download Nimukupata Yesu song, Nimukupata Yesu song, Siku Za Kilio Zimepita Nimukupata Yesu song, Nimukupata Yesu song by Ambassadors of Christ Choir, Nimukupata Yesu song download, download Nimukupata Yesu MP3 song

Comments (6)

0/500

  New Comments6

  Emmanuel zj0vj

  best of the best

  Tanzania

  Kaluto Masalum30tz

  always ❤️❤️❤️

  Tanzania

  Ronicah Kakupa

  ❤️❤️❤️

  Zambia

  Racheal Heather

  Beautiful song[0x1f623][0x1f623]

  Zambia

  shaddy33o1c

  Always Lovely ♥️♥️♥️

  Kenya

  jm8ja37

  [0x1f623]

  Tanzania

  +

    -   or   -

    -   or   -

    NG +234

      Please Select A Playlist

      Add New Playlist

      Share on

      Embed: Love & Light EP

      Custom Size :

      • Default
      • Desktop(300*600)
      • Mobile(300*250)

      Type :

      • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
      Get Boomplay Premium
      for
      Payment Method
      Pay With
       Review and pay
       Order Date
       Payment Method
       Due Today
       Flutterwave
        Subscription Successful

        Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

        Now you have access to all the features of Boomplay App.
        Payment Failed

        Please check your balance and then try again.

        You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
        Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
        Payment Processing...
        10 s

        Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

        Payment Processing
        Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
        About Order Status