Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2023

Lyrics

Mtegemee Yesu - Ambassadors of Christ Choir

...

Mambo mengi yakupata ndugu yanayokuumiza moyo hata ukimuomba Mungu waona kama vile amekutenga maisha magumu shida tupu wabebeshwa dunia nzima unapapasa hapa na pale bila kupata msaada umeanza kukata tamaa imani yako inayumba yumba unajisikia upweke umeachwa kama yatima utokapo ni mbali sana kiasi kwamba huwezi rudi mbele uendapo nako giza umekosa matumaini Magumu shida yakupatayo ndugu ni ya muda kidogo kamwe yasikutenganishe na yule rafiki wa kweli ebu itegemee ahadi yake kwamba atakua nawe hata kwenye wakati huo mgumu mtegemee Yesu*2. Umesongwa nazo shida nyingi lakini mkumbuke Ayubu alipozidiwa nayo majaribu akasimama imara japo yako imefanywa wimbo nao waumini wenzako Sawa na wale marafiki za Ayubu walivyomcheka usiiruhusu shida yako kukunyakua mkononi mwa Bwana jibu lako ni yeye pekee tegemeo na kimbilio hata wenzako wakutenge vumilia utayashinda ndugu jipe moyo mtetezi yupo magumu atarahisisha magumu shida yakupatayo ndugu ni ya muda kidogo *2

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status