Loading...

Download
 • Genre:Gospel
 • Year of Release:2023

Lyrics

Mtegemee Yesu - Ambassadors of Christ Choir

...

Mambo mengi yakupata ndugu yanayokuumiza moyo hata ukimuomba Mungu waona kama vile amekutenga maisha magumu shida tupu wabebeshwa dunia nzima unapapasa hapa na pale bila kupata msaada umeanza kukata tamaa imani yako inayumba yumba unajisikia upweke umeachwa kama yatima utokapo ni mbali sana kiasi kwamba huwezi rudi mbele uendapo nako giza umekosa matumaini Magumu shida yakupatayo ndugu ni ya muda kidogo kamwe yasikutenganishe na yule rafiki wa kweli ebu itegemee ahadi yake kwamba atakua nawe hata kwenye wakati huo mgumu mtegemee Yesu*2. Umesongwa nazo shida nyingi lakini mkumbuke Ayubu alipozidiwa nayo majaribu akasimama imara japo yako imefanywa wimbo nao waumini wenzako Sawa na wale marafiki za Ayubu walivyomcheka usiiruhusu shida yako kukunyakua mkononi mwa Bwana jibu lako ni yeye pekee tegemeo na kimbilio hata wenzako wakutenge vumilia utayashinda ndugu jipe moyo mtetezi yupo magumu atarahisisha magumu shida yakupatayo ndugu ni ya muda kidogo *2

Similar Songs

Listen to Ambassadors of Christ Choir Mtegemee Yesu MP3 song. Mtegemee Yesu song from album Tuli Bapya is released in 2023. The duration of song is 00:05:27. The song is sung by Ambassadors of Christ Choir.

Related Tags: Mtegemee Yesu, Mtegemee Yesu song, Mtegemee Yesu MP3 song, Mtegemee Yesu MP3, download Mtegemee Yesu song, Mtegemee Yesu song, Tuli Bapya Mtegemee Yesu song, Mtegemee Yesu song by Ambassadors of Christ Choir, Mtegemee Yesu song download, download Mtegemee Yesu MP3 song

Comments (0)

0/500

  New Comments0

  What do you think of this song?

  +

    -   or   -

    -   or   -

    NG +234

      Please Select A Playlist

      Add New Playlist

      Share on

      Embed: Love & Light EP

      Custom Size :

      • Default
      • Desktop(300*600)
      • Mobile(300*250)

      Type :

      • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
      Get Boomplay Premium
      for
      Payment Method
      Pay With
       Review and pay
       Order Date
       Payment Method
       Due Today
       Flutterwave
        Subscription Successful

        Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

        Now you have access to all the features of Boomplay App.
        Payment Failed

        Please check your balance and then try again.

        You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
        Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
        Payment Processing...
        10 s

        Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

        Payment Processing
        Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
        About Order Status