Loading...

Christina Shusho - Ning'are
- Genre:Gospel
- Year of Release:2015
Lyrics
Christina Shusho - Ning'are - Christina Shusho
...
Ooooh damu ya yesu imenifanya ningare , imenifanya ningarex3 umenifanya ningare yesu x3 wewe waitwa nuru eti nuru ya watu ukiingia kwangu mi ningara ndani ya hiyo nuru eti kuna uzima ukiingia kwangu mi nauzima uso wake yesu aliye sura yake Mungu umeingia kwangu mi nangara nuru ya injili utukufu wa kikikristu umeingia kwangu mi nangara umenifanya ningare eeeh yesu wex3 oooh yesuu umenifanya ningare yesu yesu( inuka ungaziwe nuru imekuja utukufu wa bwana umekuzukia wewe mataifa watakujia wafalme watakuja utukufu wa bwana umekuzukia wewe x2) umenifanya ningare yesu yesu x4 oooh yesu aleluya kumtumikia Mungu kuna faida umenifanya ningare iyeleuuu x2 umenifanya ningare eeh yesu yesu ooooh yesu
Similar Songs
More from Christina Shusho
Listen to Christina Shusho Christina Shusho - Ning'are MP3 song. Christina Shusho - Ning'are song from album Ongoza Hatua Zangu is released in 2015. The duration of song is 00:03:59. The song is sung by Christina Shusho.
Related Tags: Christina Shusho - Ning'are, Christina Shusho - Ning'are song, Christina Shusho - Ning'are MP3 song, Christina Shusho - Ning'are MP3, download Christina Shusho - Ning'are song, Christina Shusho - Ning'are song, Ongoza Hatua Zangu Christina Shusho - Ning'are song, Christina Shusho - Ning'are song by Christina Shusho, Christina Shusho - Ning'are song download, download Christina Shusho - Ning'are MP3 song
Comments (19)
New Comments(19)
Doroth Silayo
Thomas Eyton Kalagho
emmanuel Kasekwa
Joyce Clemence6izdi
Sharon anyango9j104
