Ni Vema Kushukuru Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Ni Vema Kushukuru - Ambassadors of Christ Choir
...
nivema kutenga MUDA wa kumshukuru MUNGU KWA KUWA UHAI wetu u mikononi mwake Tena tumshukuru KWA pendo lake NA wokovu tungeangamia wote asingelitufia. utatoa Nini kumshukuru MUNGU wako KWA yote akutendeayo utatoa Nini anakulinda utokapo Hadi urudipo wapaswa kumshukuru KWA pendo lake Hilo,.
NI vema kutenga muda wa kumshukuru MUNGU kwa kuwa uhai wetu u mikononi mwake tena tumshukuru kwa pendo lake na wokovu tungeangamia wote asingelitufia ,
ulipopita uliwaona wagonjwa wengi walio maututi wengine hawajiwezi WEWE u mzima tatoa Nini kushukuru ni heri ungetenga muda kumshukuru MUNGU ,
nivema.............,
wapita wakati mgumu usio elezeka familia zinawapoteza wapendwa wao hayo maumivu yote WEWE unafariji nikikumbuka napiga magoti kushukuru ,
NI vema..........
Kama hukupewa utajiri ujulikane wapaswa kushukuru vichache ulivyonavyo je wajua je Kama visingekuwa jaribu acha ya dunia umchague YESU pekee .
NI vema........