- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Rangi - Ambassadors of Christ Choir
...
Rangi zipp nyingi duniani
Tena zote ni rangi nzuri zapendeza
Ipo nyeupe nyekundu na njano
Zote za kupendeza sana
Tena nyeusi na rangi ya chenza
Kijani na kadhalika
Japo zote nzuri za pendeza
Sio zote zawezafaa kwa wakati mmoja
Mtu mmoja kwa mapenzi yake
Ataichagua rangi fulan
Atakayo kijisikia yampendeza
Kuliko zile rangi nyingine
Chunga usijifanye mjanja
Kwamachaguzi yake
Ukisema rangi ni rangi
Yoyote yaweza faa
Hivyo ndivyo mwenyezi mungu
Kaitenga siku ya saba
Iwe sabato kwake
Pia kwa watu wake
Kwa nini nijifanye mjanja
Nikisema siku ni siku
Ndio siku zote ni nzuri Lakini ya Saba bora kwake
Nitawafundisha watu kupumzika siku
ya sabato kama alivyo tuagiza mungu (3)
Mataifa yetu mbali mbali
Yanazo Bendera zake nzuri
Wote twaziheshimu
Zipo rangi zilizochaguliwa
Kuzipamba hizo bendera