Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2022

Lyrics

Siku za Kilio Zimepita - Ambassadors of Christ Choir

...

Sauti ilisikika mjini Rama

Kilio na maombolezo mengi

Raheli akiwalilia watoto wake

Lakini hakutaka kufarijiwa kwa kuwa hawako tena

Bwana asema hebu zuia sauti yako usilie mama

na macho yako kamwe yasitoke machozi tulia ee jipe moyo

Bwana asema hebu zuia sauti yako usilie baba

na macho yako kamwe yasitoke machozi tulia ee jipe moyo

Maana kazi yako itapata thawabu

na kwa nguvu mpya

Nguvu mpya utainuliwa tena

Wakati tulio nao

Si wa kuomboleza tena

Siku za kilio zimepita zimekwisha (aaha)

Sasa twasonga tena

Mbele kwa kazi yake bwana

Matokeo kwamwe hayatatukatisha tamaa (nhuu)

Na tutaweza yote

Kwa jina lake mwenye nguvu

Na kwa mkono wake yeye mwenyewe atatuongoza

Wakati tulio nao

Si wa kuomboleza tena

Siku za kilio zimepita zimekwisha (aaha)

Sasa twasonga tena

Mbele kwa kazi yake bwana

Matokeo kwamwe hayatatukatisha tamaa (nhuu)

Na tutaweza yote

Kwa jina lake mwenye nguvu

Na kwa mkono wake yeye mwenyewe atatuongoza

Twatiwa nguvu kwa neno lake bwana Mungu uuhuu

asemapo baada hayo yote nitarejea,

nami nitaijenga tena nyumba yake Daudi iliyoanguka

nitajenga tena maanguko yake nitaisimamisha,

Kwa ajili yake bwana twaweza kuuwawa mchana usiku kucha

twahesabiwa kuwa kama kondoo wasubirio kuchinjwa,

Lakini katika mambo haya yote tumeshinda na zaidi ya kushinda

kwa yeye aliyetupenda jina lake lisifiwe milele.

Baada ya siku hizo za kupigwa vikali

Kama alivyoahidi nguvu mpya ametupatia tena.

Wakati tulio nao

Si wa kuomboleza tena

Siku za kilio zimepita zimekwisha (aaha)

Sasa twasonga tena

Mbele kwa kazi yake bwana

Matokeo kwamwe hayatatukatisha tamaa (nhuu)

Na tutaweza yote

Kwa jina lake mwenye nguvu

Na kwa mkono wake yeye mwenyewe atatuongoza

Wakati tulio nao

Si wa kuomboleza tena

Siku za kilio zimepita zimekwisha (ahaa)

Sasa twasonga tena

Mbele kwa kazi yake bwana

Matokeo kwamwe hayatatukatisha tamaa (nhuu)

Na tutaweza yote

Kwa jina lake mwenye nguvu

Na kwa mkono wake yeye mwenyewe atatuongoza

Wakati tulio nao

Si wa kuomboleza tena

Siku za kilio zimepita zimekwisha (ahaa)

Sasa twasonga tena

Mbele kwa kazi yake bwana

Matokeo kwamwe hayatatukatisha tamaa (nhuu)

Na tutaweza yote

Kwa jina lake mwenye nguvu

Na kwa mkono wake yeye mwenyewe atatuongoza

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status