Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2023

Lyrics

Nakupenda - Ambassadors of Christ Choir

...

(music playing)

......

Bwana Yesu nakupenda, wewe uliyenipenda mimi

Sina chochote cha kulipa chaalingana na upendo wakooo

Ya thamani yote ni yakooo

Ata hivyo yasingeweza kuliipa

Ulotenda ni maku sanaa mimi siwezi kuelezaa

Yanishangaza, yanipita je niseme nini, bwana wanguuu

Mwanadamu nisiyestahiliii

Kunipenda hata kunifiia,

(he bwaaaana)

Bwaana weetu, eeh Mungu wetuuuuu

Twasimaama mbele zako bwanaaaa

Tumekuuja kukushukuru bwanaaa

Na kukusiiifu usifiwe mileleee (ewe bwaaaana)

Bwana wetu, eeh Mungu wetuuu

Twasimaama mbele zako bwanaaaa (tumekuuuujaa)

Tumekujaa kukushukuru bwanaaaa (na kukusiiiifu)

Na kukusifu usifiwe mileleeee

Ungeweza kutojali mwanadamu akaangamia

Kwa kuwa yeye ndiye aliitenda dhambi sio wewe bwana

Ungeweza kumuumba mwengine

Mwenye dhambi, usimkumbuke teena

Lakini kinachoshangaza maamuzi yako ni kinyume

Uliamua kumpenda yule yule-ambaye hapendeki

Eeh bwana tuseme niiiniii

Pendo lako limetuzidi (eh bwaaana)

Bwana weetu, eeh Mungu wetuuuu

Twasimaama mbele zakoo bwanaaa (tumekuuuja)

Tumekuuujaa kukushukuru bwanaaaaa

Na kukusiiifu usifiwe mileleee (ewe bwaaana)

Bwana weeetu, eeh Mungu wetuuuu

Twasimaama mbele zako bwanaaa

Tumekuuja kukushukuru bwanaaa

Na kukusifu usifiwe mileleee

(music playing)

Ndugu yangu fikiria sana pendo hili la thamanii

Tutapataje kupona tusipolijali pendo hiloo

Kila jambo limewekwa waazi

Karibia msalaba waake

Ebu njoni twende kwake tuzitubu dhambi zetu zotee

Hatuna muda tena ndugu, pendo hili lisipite bureee

Ni salama mikononi mwaakeee

Mtetezi tena ushindi wetu (eh bwaana)

Chorus

Bwana weetu, eeh Mungu wetuuu

Twasimaama mbele zako bwanaaa (tumekuuja)

Tumekuuja kukushukuru bwanaaaa (na kukusiiiifu)

Na kukusiifu usifiwe mileleee (he bwana, he bwana, he bwanaaa)

Bwana weetu, eeh mungu wetuuu (ooh twasiimama)

Twasimaama mbele zako bwanaa (Tumekuujaa)

Tumekuuja kukushukuru bwanaa (na kukusiiiifuu)

Na kukusiifu usifiwe milelee (ewe bwaana)

Bwana wetu (ewe bwaana) eeh Mungu wetuu (wooo woh)

Twasimama mbele zako bwana (tumekuuuja)

Tumekuuja kukushukuru bwanaa (na kukusiiiifu)

Na kukusiifu usifiwe milele


Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status