Tufanye Kazi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Tufanye Kazi - Ambassadors of Christ Choir
...
(chorus)
kazi tufanyeeeh
tufanye ndug kwa nguvu tulopewaaah .,,, kamwe huwez kuendelea usipoifqnya kaz,,,, lkn ktk yote ukumbuke kua mungu ni w kwnza,,,,, ni vema tufanye lkn bila baraka zake hatutapata
Mali tulizoazo tusijisifu kua ni akili zetu hata usipopata usikate tamaa Mungu hajakusahauuu....
Tuamkapo mapema kilasiku waenda kufanya kazi baraka zake Bwana zinakufuata kwa namna ya ajabuuu mambo yako yanapoenda ata ukafanikiwa unajisifu hata unamsahau aliyekusaidia
kazi tufanyeeeee,,,,,,,(repeat the chorus)
Lkn mambo ya duniani niajabu ndugu twende pole hakuna hata aliyepaswa kujisifu kwa Mali alizo nazo .........mbona matabibu wapo kwa kuwepo magonjwa duniani .... siku ikitokea magonjwa yakaisha jiulize na kujijibu uuuh
(repeat the chorus)
Mikono hii tumepewa nae Mungu ili ikafanye kazii lkn ni mungu pia aliruhusu wengine wasiwenayo ulishawahi jiuliza maswali kama hayo bila jibu .......kafanye kazi ndug lkn ukumbuke kua mungu ni wa kwanza
chorus