Kazi ya Mikono Yako Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Kazi ya Mikono Yako - Ambassadors of Christ Choir
...
Kazi ya mikono yako ni ya ajabu sana inatufanya tuimbe tusifu jina lako maana jina lako li karibu nasi ili lituokoe hallelujahmsifu mungu mweza yoteee oooh tumsifuwote tumtukuzeee X3
Nitawakumbusha watu maajabu ya mungu nanyi muimbe wokovu tuliopewa bure kwa kuwa ahadi zako ni amini lengo lako kuokoa
Hallelujah msifu mungu mweza yote x2
Oooh tumsifu wote wamtukuze x2