Kwetu Pazuri Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Kwetu Pazuri - Ambassadors of Christ Choir
...
Ninayo hamu kurudi nyumbani
Nyumbani kwetu ambapo hatutatengana
Hapo nyumbani kwetu hakuna
makaburi,wala hakuna vyandarua
wala hakuna malaria
kwetu ni pazuri
ni pazuur nakuambia
najuw nawe ndugu yangu unayoham kufika huk
kwetu nimeshapakumbuka
ninayo hamu namwokozi wangu
kwa mali na furah tena yaa ajab
sipat pichakwa watacho fika kwetu mbingun
"kwetu pazur nmeshapakumbuka
ninay hamu ya kuishi na mwokoz wangu
kwa mali na furah tena ya ajabu
sipati picha kwa watacho fika kwetu mbinguni"
hii duniaa aah imejaa shidaa aah
kam hujui nenda hospital ukaone
lkn kwetu hakuna fani ya tabibu
wataka tifu watachuma majan ya mti wa uzima
wawe na afya kwa watugua magonjwa tabu tuataacha kote hapa dunian
"chorous"
mpenda njuu turudi nyumbani iih
asubuh yaj tuyakimbie yadunia ah
atkaye kosa hapo kwel n hasar
aya matatizo ni miteg ya shetani ili tushindwe
kufika nyumban kwetu pazur
lkn kwa jina lake tutaenda
"chorous"