- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2022
Lyrics
Mimi Yesu - Amkeni Fukeni Choir
...
mimi yesu nimemtuma malaika kushuhudia maneno yale ya unabii yaliyonenwa na yohana natazama naja upesi na ujira wa kumlipa kila mtu na kazi yake mimi mimi ni alpha na omega asema
bwana
mimi yesu nimemtuma malaika kushuhudia yale ya unabii yaliyonenwa na yohana natazama naja upesi na ujira wa kumlipa kila mtu nmanenoa kazi yake mimi mimi ni alpha na omega asema bwana
naja upesi shika sana ulicho nacho usinyanganywe (×2) nasi tuimbe tumtukuze aliyekuja kutukomboa
na yohana alikwenda kushuhudia mambo hayo alipofika na kuyaona alianguka na kusujudu
natazama naja upesi na ujira wa kumlipa kila mtu na kazi yake mimi mimi ni alpha na omega asema bwana
Similar Songs
More from Amkeni Fukeni Choir
Listen to Amkeni Fukeni Choir Mimi Yesu MP3 song. Mimi Yesu song from album Asikiae Na Asikie is released in 2022. The duration of song is 00:06:06. The song is sung by Amkeni Fukeni Choir.
Related Tags: Mimi Yesu, Mimi Yesu song, Mimi Yesu MP3 song, Mimi Yesu MP3, download Mimi Yesu song, Mimi Yesu song, Asikiae Na Asikie Mimi Yesu song, Mimi Yesu song by Amkeni Fukeni Choir, Mimi Yesu song download, download Mimi Yesu MP3 song