Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2017

Lyrics

True Boya - Msodoki Young Killer

...

Afu me naitwa young killer msodoki “sawa eeh sio young killer mthodoki

“Bi ladeni …”

Mwaga ruka giza tulia chini , manzese

Kule atokapo rais wa wangese , usinichekeshe

Nikaona bado ujakuwa siku utakayo jua hujui ndio siku utakayo jua ya kuwa

Una mambo ya kishosti leten ugali plan

Maana mwana amerost , upinde wa uwakika

Yeye akazie alipo shika kwanza msaada wake

Kwangu si umebaki wa kunizika , hana kali

Hana Jipya msipagawe hana dooh !

Una leta ugomvi wa mawe akati unaishi

Kwenye nyumba ya kioo

We bishoo kwenye huu mwamba utatosha

Kakuambia nan kwamba kila mshamba n ngosha

We rofa number one huwez chill na si kasema nan pengo la zilla n bill nass

Hamna ….?? Mpigeni mwingine mikwala hii

Ndio saloon inayo suka vipara

Umeibuka kusema sema wenzako et flan

Ameshuka we pambana na hari yako

Nimetoka mwanza nimeagwa mpka na sato

Sasa kama utakuwa hunioni hadi mmi si utakuwa hauna macho

Umebugi si kitoto safari yako kama chizi

Kwenda umbali mrefu na kurud na makopo

Muyaudi mwenye voko young kille haugopi

Si ndio yule asie na swagger msodoki

Ney mwenyewe tahabani hapo zinapo ongea

bange mtoto wa kiume gani anae chamba

Kuliko mange

Ukinitafuta niko mbezi upepo unapo vuma

Na mlango upo wazi ukifika we sukuma

More Lyrics from Msodoki Young Killer Songs

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status