Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2022

Lyrics

All Eyes On Me ft. Country Wizzy - Msodoki Young Killer

...

EEH BWANAA


ALL EYES ON ME

BAADA YA VUTA NIKUVUTE

LETE KICHWA BOGA TUKUSUKE

UKISHA YAKOLOGA TUKUSUTE

ACHA UZOBA NA UOGA HAIMAANISHI

USIPO POTEZA USITAFUTE

HAWAELEWANI NA MAMBO

HAELEWEKI JANI

NI MCHARANGO MWANDIKO

HASOMEKI MAN

HAZINYWEKI POMBE

HALICHOMEKI JANI

HAELEWEKI MTU

HAELEWEKI NYANI

SINA WATU KUTU NA KUTU HATUNA

MBELE YAWASELA NONDO TUMEKUJA

NA VYUMAA

TUKIMWAGA MBOGA UJUE TUNAMWGA

NA NGUNA

WE DON'T CARE WAKINUNA

NA HATUKAI MEZA MOJA NA

MASELFISH

WASIJE WAKAMWAGA MAJI KWENYE MAINSWITCH

SO PASS LIKE SHADOW

USIPALAMIE MAMBO

KING OF THE JUNGLE

NA IRUN PITCH

ONA WANANITAZAMA KAMA NETFLIX

PIZAA KITAA NA WANA 24/6

KA SIO KESII

KUREFRESH,NA KUINVEST NA REPASTE

NAPOGET HAPO NA ILA HATUKOPESHI

NA HATUKESH KUNA MUDA WA MAPENZI

NA BUSINESS NA UCHESHI NA KUDANCE

NA MABESTI NA MAA!!!

YAANU FRES!!!!!!!

YOO SO FUNNY BROO

UJINGA KUWEKA REHANI ROHO

WOLAP WOLAP

HELLO HELLO

WE ARE TAKEN OVER

TAYARI KIMENUKA WATU WASHAOZA

WANAWAZA HALUSI KABLA YA KUTONGOZA

YANI KABLA HATA YA KUNYWA TUNGII LISHAKOZAA

MMMHH MMMH!!!

UNAVYOFEEL NAJIFEEL

WAKUMUWEKA KANDO UTAMJUA KWENYE BILL

KABLA YA FAKE MAMBOWAANZAGA KUWA REALLY

WASIO NA MIPANGO HAWATUFAI

KWENYE DEAL

_____ OVER ___?_


MMH YEA

THIS HOW GOES SOME COOL


LISTEN NPO KWENYE GAME TANGU 2010

MPAKA LEO ZEE NASOMEKA

ZEE NASOMEKAA!!!

ALAFU KILA GOMA LIKITOKA KITAA

LINAELEWEKA (KITAA LINAELEWEKA)

ALAFU BADO TUNAMAINTAN HADI LEO HATUJAWAI ZOELEKA

MMH

TELL YOUR NIGAZ TUKO SAWA WAKIWEKA TUNAWEKA

ALAFU SISHTUSHWII NA HAWA RAPPERS WA KIZUSHI

MPAKA WAPEWE PROMO ZA KUBOOST

KWELI WANACHANACHANA ILA

LINE ZAO HAZINIGUSI LABDA

WAKICHANACHANA MATUSI

_________SHIT_______


I HAVE MADE IT

MPAKA IVI SASA SIJAONA IVI SASA

RAPPER MKALI KA MM

I HAVE MADE IT

MI NIKO TOFAUTI KAMA MNAVYO FANYA NYINYI

I HAVE MADE IT

SI MNAONA THIS SWAGER BABA

MM NI MTOTO WA MJINII

I HAVE MADE IT

???????????

SAA NYINGNE MKITIUONA TUNA BALL

NJAA KALI MPAKA MACHIZI WANATOANA ROHO

SO UKITUONA TUKO HAPA BASI YOUR READY KNOW

JUA SIS BEI GAN NDO TUNAICONTROL



JUST TAKE IT' EASY

CALM DOWN YEA YEA CALM DOWN

NASKIA HARUFU

????????

????????

????????




LYLICS BY IT'S YOUR BOY JONABTZ






Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status