Loading...

Download
 • Genre:Bongo Flava
 • Year of Release:2020

Lyrics

Tamba - Mbosso

...

pasha maji weka Moto tandika jamvi Naja nyumbani nimekuletea zawadi kijora cha mkopo futa la nazi ujipare honey na vijisabuni vya magadi nguru usimtoe chumvi ndio ladha yake muunge Tu nipe na chuzi na nyama yake Kula ya mbuzi ni kamba yake ye king'amuzi mi dishi lake fungeni maturubai mkeshe mkisema wala hamtupi shida ndo kwanza tunajidai mkeshe mkisema kama afisa wa nida oooh tena daktari nimekuja na tiba sindano Leta nichomeke chunga kibinda mwali napita kwenye mabano leta nichomeke nipo ngangari tayari kwa mapambano leta nichomeke chea tangu sasa leo mambo msuguano leo nichomeke tamba aaah tambaaa nakupa uwanja tambaa tambaaaa aaah tambaaaa warushe warushike roho zao tambaaa aaaah tambaa wasiokujua wakujueee leooo tambaaa aaah tambaaaa tambaa mama laoo .....


ntalinda benki kwa rungu niaminie taka langu mwana uvungu nainama miee wavunje Nazi na nyungu wajifushie ooh moo yangu atulinde Mungu yasitufikie nilishakumbwa na sunami na mapenzi nikalia na Amani kwako sasa penzi si la unyang'anyi peke yangu najilia nashiba na kusaza Nina kativi kangu kanawaka kuzima nikupe Nina kasimu kangu japo kamchina nikupe shika na moyo wangu nenda nao mazima nkupee tuzaliwe maka tufie madina nikupe........

fungeni maturubai mkeshe mkisema wala hamtupi shida ndo kwanza tunajidai mkeshe mkisema kama afisa wa nida oooh tena daktari nimekuja na tiba sindano Leta nichomeke chunga kibinda mwali napita kwenye mabano leta nichomeke nipo ngangari tayari kwa mapambano leta nichomeke chea tangu sasa leo mambo msuguano leo nichomeke tamba aaah tambaaa nakupa uwanja tambaa tambaaaa aaah tambaaaa warushe warushike roho zao tambaaa aaaah tambaa wasiokujua wakujueee leooo tambaaa aaah tambaaaa tambaa mama laoo..., nishalinoa panga mulini kukandamua wanakaza kitanda usiku kuneng'emua ×2 uuuyeyeeeee uyeeeyeeee nishalinoa panga mulini kukandamua aioooo wanakaza kitanda usiku kuneng'emua lalalalaaaa lalaalaaaalalaaa. Aiyolaiza.

Similar Songs

Listen to Mbosso Tamba MP3 song. Tamba song from album Tamba is released in 2020. The duration of song is 00:03:59. The song is sung by Mbosso.

Related Tags: Tamba, Tamba song, Tamba MP3 song, Tamba MP3, download Tamba song, Tamba song, Tamba Tamba song, Tamba song by Mbosso, Tamba song download, download Tamba MP3 song

Comments (43)

0/500

  New Comments43

  veror0hxa

  [0x1f628]

  Kenya

  lelahassan

  moja moto tupo sweet leaves #+254 sultan hamud

  Kenya

  Chris mbav n6qcx

  de puis RDC congolais

  Gif | Boomplay Music
  Democratic Republic of the Congo

  antony3xgfr

  i like his songs

  Kenya

  joanneytp3d

  i love this man for his big hit in music receive love from kenya [0x1f618][0x1f618][0x1f618]

  Kenya

  Hillary Kid

  Go Tanzania....., Tanzania..,,,Big up Tanzania [0x1f628][0x1f628][0x1f628][0x1f628][0x1f628]

  Kenya

  Robert 5wjj6

  If you have zenith Bank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Online cheque deposit .. I have a direct zenith log tools now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank account.. don't give me new account within 5 hours time the job is done +2347036681271

  Nigeria

  seif jumannes9shc

  kuna katusi flani lkn umeuwa dogo

  Tanzania

  salyj6dmp

  tangu udogo na tambaa tu

  Image | Boomplay Music
  Tanzania

  hindasitta@gmail.com

  Image | Boomplay Music
  Tanzania

  masanja9rw

  nilishakumbwa na tsunami la mapenzi nikalia nna Amani kwako sasa penzi si la unyang'i peke yangu najilia nashiba na kusaza The best verse nakapenda sana hako kakipande

  Tanzania

  founga franck david

  c'est bien

  Cameroon

  +

    -   or   -

    -   or   -

    NG +234

      Please Select A Playlist

      Add New Playlist

      Share on

      Embed: Love & Light EP

      Custom Size :

      • Default
      • Desktop(300*600)
      • Mobile(300*250)

      Type :

      • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
      Get Boomplay Premium
      for
      Payment Method
      Pay With
       Review and pay
       Order Date
       Payment Method
       Due Today
       Flutterwave
        Subscription Successful

        Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

        Now you have access to all the features of Boomplay App.
        Payment Failed

        Please check your balance and then try again.

        You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
        Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
        Payment Processing...
        10 s

        Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

        Payment Processing
        Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
        About Order Status