Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2022

Lyrics

Respect - Msodoki Young Killer

...

eeeeeh bwana!

mola akupunguzie adhabu uko uliko,

huzuni tang litimie andiko,

nilipotembelewa na kifo imekua ngumu kuamin tumekukosaa!!

ila hatuhukumu hiyo ndo kazi ya mola haina makosaaa!!!

umeondoka angali twakuhitaji,

machozi yet yanakwenda na maji,

Mama kajaa maumivuu na analia kama mzazi,

tangu uondoke nyumban machozi na simanzi,

hatuwezi zoea inaumiza,

ulituchekesha mwisho wa sku umetuliza,

tunamuomba mola akuepushe kweny kizaa,

Akusamehe ulipo kosea na amin dua anaiskiza,

kweli kifo hakina huruma inlhal inalajunaa

mbele yako kwetu si ni nyumaa.

walileta karaha na ukachunaa, wakutupa furaha tena hakunaa tukinuna we mishiii uu

yeaah,,i wish urudi tena nikuage

sisi bila wewe tutawezaje,,

kaa bas twende rock city tujimwage

nan anisindikize airport ya kambalage imekua mapema umetutoka.Nyumbani hapakaliki naogopa nakumbuka vile ulipambana na hukuchoka na ulikua mtu wa watu siamin leo umeondoka

last respect

moyon kwetu ni effect

siku zot mapenz ya mola ni zaidi (yeah)

nakumbuka uliniambia ntakukumbuka,

ukiondoka ntajuta leo kwel yametokeaaa, yeah!!!

ona nafuta nachozi yanaangukaa furaha inashuka na ulipo nakuombea ungengojea angalau tusonge mbel usinge tupa kisogo na kutuacha dailema kwel mwisho wetu ni udongo matendo yetu ndo log kuondoka kwako ni tobo dear lala mahala pema.

(??????????)

fumbua hata macho au toa ata sauti sema alau chochote open your mouth tutakuja tena kuonana

(??????)

tunajua ulipo ni salama naenjoy feel dausii

tazama juu sura yako naiona kwenye clouds

nguvu naishiwa kwa leo mamaako wanamwita mfiwa ambaye mwanzo alifurahi we kipindi unazaliwa wema sio wema dunia ishakua kilema usishangae unakufa jion na asubuh kwako ilikua njema

Tuishi kwa wema maana mwisho kuzima kama mshumaa ni vyema kua na furaha tangu mapema ili kuyashinda majonzii kwepa ujasili hakuna anaejua keshoo wala kuweza kuitafsiri hatuna jibu kamili la hii shidaa na hakuna hahar mbaya kama msibaaa .

by Alex makuya

More Lyrics from Msodoki Young Killer Songs

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status