Mrs Me Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Mrs Me - Msodoki Young Killer
...
Eeeee Bwana (Dapro on the truck)
Khoo khoo khoo
Nakumbuka pindi bado ni mdogo 2001
mama aliniita inbobo pale pale nyumbani
akaniambia bwana mdogo Furaha inaanzia ndani, Moyo ukiwa na zogo unakosa amani, ndo naelewa leo maana yake ni upendo yani simizi kamuua Tembo kipenzi cha Moyo, njoo nikupe Eat some more kula nyama mbichi ndo kipendacho roho my African queen get off my dream coarse ya mapenzi umehitimu unanikoleza mastimu hakuna zaidi yako kwa mujibu wa takwimu moyo wangu umezama kwako na umesha confirm
We ni bebe na nusu kwaiyo bebe inaruhusu njoo nikupige mabusu kuwa nawe bonge la tusu umenifunga mabusu wapambe haya wahusu unang'ara kama Gold hauna kovu hata duchu sura yako ina mvuto unafit kwenye ice cream macho yako ka puto so ya chai ni scream umepata coupon ya kuishi kama queen kung'ara mpaka kwenye magazines ma-queen wote unawatoa kamasi uki-drop niggah sio adobe photoshop nyuma topu topu unafunika kila picha wanacrop chuchu ka grop kitandani hauna kazi mbovu
We-nibebe-na-nusu moyo bebe inaruhusu
njoo nikupige mabusu kuwa nawe bonge la tusu umenifunga mabusu wapambe haya-wahusu unang'ara kama Gold
beeiibeee beeiibeee beeiibeeee
Yo milima mabonde tushuke tupande wakae kimya waponde usisikilize wapambe umezidi viwango hata vile vya FIFA mcheshi upo humble we ndo queen wa Taifa twende zetu kanda ya ziwa akili umebarikiwa ka chupa ya wine miguu so ka pingili za miwa kama unaoga maziwa kila kona unasifiwa twiga ni stars ka twiga na sauti kama ya njiwa
We-nibebe-na-nusu moyo bebe inaruhusu
njoo nikupige mabusu kuwa nawe bonge la tusu umenifunga mabusu wapambe haya-wahusu unang'ara kama Gold hauna kovu hata duchu twende zao tutoke tupige picha zitoke watachonga watalala usiogope its ok! nipe beat nichane nikupe mic ufoke bendera pande zote Mrs.Me
beeiibee hahahahahaha
Eee bwanaa ee