Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2020

Lyrics

A New Girl Friend Story - Msodoki Young Killer

...

young killer msodoki

.....

A New girlfriends

yohw dar pro

yoo what'sapp bro

inakuaje my G

dar fresh mbona usiku mzee

yah sure,sorry sana mwanangu nina kipengele Huyu demu wangu mshikaji wangu ni changamoto

what happening

tunaweza tukaongea kidogo hapo

yaeh for sure

ok

uyu Demu kila siku ana bol mtu flani wa usiku ndoto zake ni kuishi Singapore ana shepu na vimacho vya goroli na akicheza kidogo ana sweet atasema masukuma matorori

ana zimia sana mapicha ya kusnap yaku post ya kulike na kucoment dady ana chuchu saa sita kifuani amakatika

anapo pita maboss wote (OMG )

alivyo niona aliwaka ila mwisho alizima

maana niliomba mechi akinipatia mtima

yaan niliomba nusu aka nipatia nzima

safar iki anzia mwanza naimalizia China

kila party ana fungua shimpeni usipo kwenda complain yaan home apakaliki no gain all day but no pain no gain nikajifunza akawa akinipa kitchen nampika mpaka naunguza namwosha nasunzaa utani napunguza na namcare kama mgonjwa unaweza sema naunguza marashi namnyunyuza umbeya ananijuza nachochea ukuni uku speed ikiwa 100 napunguza

juzi akavurugwa na mashositi wali msnap Waka post akiwa ndani ya dela haja jikoki kavaa ndala akabeba na pochi wigi alisahau kwenye kochi katoka kaa robot

ukweli nampenda anipenda Yuko tayari kwenda napokwenda ila siwezi kwenda anapo kwenda beki mzuri ila golini naona chenga Mtoto wa geti ila kila club member

kinacho nichangana ni muda anao patikana namkuta kachoka sana alafu anasingizia gym

asa mwanangu jana kuna kosa kalifanya na ule mda wa kuvutana me nika kimbilia simu yake nimekuta vitu vingi vya ajabu uwezi ata ukahesabu unaweza ikawa ndiyo sababu ya mikosi na tabu na si kimpatia azabu siku mshitakia kwa babu wala sija waambia wanangu laka boss

ndo nimekuta aki sex na trainer wake SMS ya designer wake ana stress akalale kwake kamiss amfate kama ni mkongo apake kama ni shombo akate yaan akifika ni mate na makiss(noma mzee)

najua ni ujinga na upuzi ujana naujuzi inabidi ayatambue haya mapenzi anapenda sana movie nimejaza ndani ila kutulia ndo awezi

....

... sad story bro

yeah for sure inaumasana yaan nimemkabizi ng'ombe anilindie majani mwanangu.

kwani we saa hivi uko na yee Yuko wap.

..,.. me ndo natoka Mishe Mishe, niko kwenye gari lakn ye naambiwa hata home bado hajafika.

ulisha wahi kukaa chini kuongea nae.

sikuwahi kumwambia lakini kwa hatua aliofikia hii lazima nimchane.

bora uongee nae tu.

niseme nae uongo.

ongeanae mueleze ukweli.

OK thanks let me do it my G.

ok poa.

OK OK.

.........

(hello baby)

ukweli ni kwamba ushamba umwamba najua kila mbuzi anakula urefu wa kamba namjua mpaka mpuuzi anae kula tunda na ganda najua kuwa juzi ulikua casino na ambar

wembamba wa reli ila train inapita unadanga unakwenda Tanga na pipa mapeded'je wana kita na mna piga mapicha ukilizwa me nani unajibu your my sister ok ma sister unachamba kwa kulia au kushoto mbona unaswim maji ya ugoko una nilitea utoto unanirudia Asubuhi na vikopo umajaza mkorogo na vipochopocho ulipo toka mototo kwa watu makatiri na ulivyo kuwa mwepesi utazani tebo ya pili unanijaza masitress muda wote una safir hayo ni mapenzi au kuchoshana akili.

enhe

nineno moja tu ninalotaka unanipenda au haunipendi basi nijue moja tu kuliko nalia na mapenzi daily nasikia juzi unajiachia na sele na wakija kwako wana weka pesa mbele kama sina hadhi niambieh boo

mbona unaniletea maradhi na kutesa juu kuni kondesha tuu na kuni komesha tuu na kuni cholesha juu

...

(she crying)....

baby am so sorry siwezi kuludia tena

please nisamehee...

.........

till i love you.........

.....,,........,,.......,,........,,........,,........

.............

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status