Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2022

Lyrics

Umenipata - Msodoki Young Killer

...

EEH BWANA

You know what i did it

You’re ready know what release

Please haaa squeeze

Ukiona manyoya jua kashaliwa yani paka kasizi

Paka ka freeze si alitaka ndizi oouuuuh

Si wana penda ku bang

Usiombe tutimbe na gang

Tukija na gang ni shari kamili

Hiyo sio nusu shari baada ya ku drunken master kama Jack Chien aauuuuh

Walitaka habari mana muhutasari washa upata

Yani kama home mbali uko na bebe kali unapinduka hata kwenye kichaka

Umetoka mbali unakwenda mbali yani hapo time ndo ina matter

Yani mtafutaji ndo huwaga hachoki na siku akichoka kashapata

Umenipata pata yani palipo gundi ndo tuna nata

Uwanja mpana tuliza ball tupige story hakuna matata

Usihofie watu kukukosa hakikisha tu wewe umejipata

Na lengo letu ni kunyoosha hata kama papo pa kukata

Umenipata pata yani palipo gundi ndo tuna nata

Uwanja mpana tuliza ball tupige story hakuna matata

Usihofie watu kukukosa hakikisha tu wewe umejipata

Na lengo letu ni kunyoosha hata kama papo pa kukata

Waza yangu ushindwe fanya yako

Pita njia zangu ije kula kwako

Nikutie hasila nikutupe dampo

Hata kama mwalimu mkuu mama ako

Nilivyo zaidi ya kamanda kwenye mission

Huwezi kuelewa mpaka uende tuition

Don’t give up... ....bisha nianzishe

Ni level tofauti kwahiyo msifananishe

Nisome kwenye map fundi wa kurap hakuna wa ku ni drop mi down

Kwenye buum baam put your hands up Chris kama Chris Brown

Watu wana bonga yani wanachonga ila mi siwazi

Wanataka wapate kitonga wamesahau mandonga ni mtu wa kazi

Umenipata pata yani palipo gundi ndo tuna nata

Uwanja mpana tuliza ball tupige story hakuna matata

Usihofie watu kukukosa hakikisha tu wewe umejipata

Na lengo letu ni kunyoosha hata kama papo pa kukata

Umenipata pata yani palipo gundi ndo tuna nata

Uwanja mpana tuliza ball tupige story hakuna matata

Usihofie watu kukukosa hakikisha tu wewe umejipata

Na lengo letu ni kunyoosha hata kama papo pa kukata

ahahaha EEH BWANA

WRITTEN BY YOUNG C NB GANG

More Lyrics from Msodoki Young Killer Songs

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status