Umeniweza ft. Mr BLue & Dreygontz Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Umeniweza ft. Mr BLue & Dreygontz - Msodoki Young Killer
...
babe I will be hear for you, usishuke hii Safina ya nuhuu don't separate moja ni puu, kosa gani halisameheki babe boo,naona umekua super na glue. Nani anipikie, nani anitoe uchovu, nani anipakulie, nani aliekuziba masikio usinisikie, nani anaekufanya usinizimie,nani ataenibembeleza usiku mpaka nisinzie. Alhabib mamushka alhabib na habari ya jiji utamu ulizidi mwenyezi amekuumba umeumbika na zaiidi na khaidi ukinipa kufaiidi ni mpaka iidd (First and only).