- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Nani - Msodoki Young Killer
...
Mmh-hmm
Mimi mkubwa sana
EEH BWANA
Aaaaaaagghhhh Dapro on the track
Ukisikia paaa ujue imekukosa kimbia
Maumivu yataondoka na tears
Mipango plus cheers
Komando tangu many years
Uliza miguu isha puta zaidi ya ligi kuu
Hadi jua likanyesha mvua ikawaka
Leo bila mbawa na tupo juu
Killer young ila big is true
Na msodokii ndo kubwa lao
Mnyama toka long time
Toka lock town tangu shamukala wa mupao
Huwezi uka shindana nami huo ni utani yani kama unafinya mbao
Usikae kwenye barabara ishawaka kijani yani usije ukaliza wanao
Madogo wana mbwera afu gwanta la mela
Yani ndani majambazi mixer ma mwela
Mi kweli najua yani mpaka nakera
Na naanza na picha nafuata na trela
Na usipo nielewa lazima utakwama
Huwezi kujua huku kwangu utazama
Tuliza ball uwanja mpana
Ukoo wa jazali jazana
Asa kumekucha switch light off
Shusha pupa afu hongeza hope
Bidhaa hadimu huwezi ikuta shop
Inakupa mzuka unavuka top
Vumbi ka tume angusha golf
Hustle hard kutoana hofu
Kuwachana stop
Yaah hawaweki hofu
Yaah mwanga wa jua hushindani na gofu (yani)
Nyakalengede nani kaona
Masnitch tushawasoma
Wana vunja nazi mpaka koroma
Damu silazi tangu nasoma
Mbuzi kagoma mchuzi kanona
Kafa muuguzi mgonjwa kapona
Wanacho sikia mi nilishaona
Acha machepele na kona kona
Yesssssss ahahaha
Mim mkubwa sana
Mim mkubwa sana
Mim mkubwa sana
Mim mkubwa sana
Asa kiboko na mamba nani kiboko (weee)
Mambo ni fire ni moto
Ngoma inakesha raha za watoto
Mwaga mafuta kakaanga ma photo
Nani ana sema eti chombo ni ya fundi
Nani ana unganisha ukuta kwa gundi
Nani hamjui eti mwana malundi
Nani ana sema kiendacho kwa mganga
Na nani anataka kuvuna asichopanda
Nani hajui kuwa Mungu ndo ana panga
Nani analeta maneno ya khanga
Nani hajui kuwa mi natoka mwanza nani
Weka zangu juu shusha zako chini
Mi ni nyuzi ilozidi mia tatu sitini
Hello wapi nikae haifahamik
???
Jina langu lina Gb kibao ukiweka kichwani unajaza space (coz)
Usini diss kwenye mitandao kama unajihami you better me face
Sikujui huniju
???
Sipendi uwadui kikubwa ni uhai
Atanizika sijui
Koo meza dawa kulingana na ugonjwa
Uki over dose jua linazama asubuuuuuwiiiiiiiiii
Ahaha EEH BWANA
Hmm-mmh
Mim mkubwa sana
Ahahaha
Mim mkubwa sana
Hmm-mmh Yeah
Mim mkubwa sana
????
Ahaha aah
I’m the first and only
Ahaha EEH BWANA
Mimi mkubwa sana
WRITTEN BY YOUNG C NB GANG