Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2022

Lyrics

Changes - Msodoki Young Killer

...

Dapro on the track

EEH BWANA

ukitamani sana unapokwenda hutambui uliko

So mlichombo ambao unaokwenda mpaka fake peoples

Kupata kitu roho inapenda huwa sio simple

Tangu udogo haina kulemba kila mtaa nipo

Nauona mwanga baada ya kulijenga giza zito

Nishatambuwa kuwa mtumishi wa umma sio kijiko

Chonga hata ngenga amini kuna siku iko

Huenda pesa maua ila maua huwezi kuwa mshiko

Wanga washachungulia sana pochi yangu waone kama zimo

Wakasahau urefu wa maisha huwezi upima kimo

Yani huwezi bisha muumba baba akishatia wino

Kwetu tukikosa imo kila nikigusa imo

Street bifu na watoto wa geti ndio ilikuwa itikadi

Kwenye kumi na nane wakijiseti nawaletee ufisadi

Start from the bottom nam here

Since miaka kumi mtu namajukumu kama mia

Huzuni ikizidi jua kuwa neema inakalibia

Wahuni tuliotumwa na kijiji kuisaka lupia

Oooh yeah Ukila lost usiteme

Aliesema life is too short hakuongelea umeme

I know the time is changing

I know the things change

Coz no one knows about tomorrow

I know the time is changing

I know the things change

Coz no one knows about tomorrow

I know the time is changing (dear lord)

I know the things change (i just wanna say thank you)

Coz no one knows about tomorrow

I know the time is changing

I know the things change

Coz no one knows about tomorrow

Nishakesha nazo na kulala nazo sana shida

Nishaugua hadi nikapona bila kupata tiba

Tushaomba tukanyimwa hadi tuka amua kuiba

Nishatoboa sana matundu ya wale walioamua kuziba

Nishakuwa mtu wa noma kuwachezesha makida

Kama noma na iwe noma

Mtu wa kwenda na mida

Shule nilisoma na nilipanga kuja kuwa leader

Usawa uligoma ukanichoma choma sana miba

Ooouuuh one for the money two for the show

Ukisikia maisha safari ina maana let’s go

Walitaka nipambane na hali nikawaambia no

Huu ni moto wa kuotea mbali ukiegamia soo

Tangu mdogo mambo hayajakuwa simple (simple)

Na ghetto wahuni tuna usonga ugali kwa kijiko

Kulala tuna chelewa tuna jisomea disko

Na ingia class na kuzichezea sana fito

Ukisikia nimefanya balaaa ujue kuwa ni zito

Location ikisoma kitaa hujakosea nilipo

Ukisikia purukushani ujue nimevunja mwiko

Mpaka siku ambayo niliyatambua mabadiliko

Yeah

I know the time is changing

I know the things change

Coz no one knows about tomorrow

I know the time is changing (dear lord)

I know the things change (i just wanna say thank you)

Coz no one knows about tomorrow

I know the time is changing

I know the things change

Coz no one knows about tomorrow

I know the time is changing

I know the things change

Coz no one knows about tomorrow

WRITTEN BY YOUNG C NB GANG

More Lyrics from Msodoki Young Killer Songs

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status