Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2022

Lyrics

Blessing - Msodoki Young Killer

...

YOUNG KILLER MSODOKII-BLESSING

Ahahaha Dapro on the track

EEH BWANA

Haaa ukweli uko wazi haujifichagi

Usimpe kichwa panzi mzinga wa konyagi

Warembo wape zanzi na maji kwenye jagi

Wapunguze stress kisha niwape stimu wakina hug

Mungu ndo mpaji kanipa kipaji

Wana ngoja nikae kimya wanakuta sinyamazi

Yani warembo na kazi Hennessy na Zanzi

Wote watu wazima hakuna dogo wa kumtuma maandazi

Nalala na mchuchu na amka na supu

Meamka tajiri lilala kapuku

Nilizima na nguo nimeamka mtupu

Kitandani watoto wanalia kama kasuku

Oukay mimina pombe kwenye red cup

Niukimbie unyonge chapu Umenipalamia pap

Usione bado tupo top hizo ni blessing

Naona haina haja kuki close kiki happen

Ina and angelini kuwapata ni channel

Nyumba hii haiuzwi ogopa matapeli

Vibopa na cancel na maisha ni travel

Tuna enjoy thug life 2pac Makaveli

Unapanda kitandani umevaa nguo una maana gani

Akili ya kuchimba chambo kwenye rami

Hapa ukija kichwa kichwa utarudi tipwa tipwa

Kuna pombe na mademu na vitu vimepikwa pikwa

Misosi nenda kitchen

Everybody listen

Ataeshindwa chochote basi naomba njo unipe mi

Poor nenda garden

Mvinyo ukikolea hapa naona wakala wengi mpaka sijui pakutolea oooh yeeeeaaaah

Sijasema watu wameiba

Wakati nawe ushakula vya watu umeshiba

Wengine akili zao ni fyatuu utapigwa

Na kutoa upepo yani kama pancha utazibwa

Yani utapigwa hatariii

Makofi na makabali

Utaendaje home na dereva kashalewa chakali

Msije mkapata ajali

Mpeni vitu vi kaliii

Beleha halewi bwana mfungulie safarii

Na hatulewi kwa sababu ya stress

Kwetu hasara roho heshima inaambatana na cash

Jicho nyanya hebu tazama my face

Hapa hakuna kuchorana ka Ronaldo amekutana na Messi (GRACE)

Mi nahitaji kampani mtoto mmoja wastani

Krii mpaka maka afu tutokee kitandani

Hapo kifuatacho ni kutia mpira kambani

Ukiona umetengwa basi jua hujichanganyi

Fanya unitembezee shuka kutakucha

Mana fisi leo ninapo lala kuna bucha

Pale askari kasimama kuna pusha

Ukisikia blessing tayari zimeshushwa

Mwambie baunsa asilete nyama za sambusa

Apambane mana kuna baby mama hazijaguswa

Haone huku vimini na flana vinashushwa

Kifuatacho ni kupambana tu na rushwa

Mmh macho zigi zigi za nigga za wizi wizi

Baby yuko na miii yani kujigi jigi

All night all right all right all night all right ooouuuuh

Hahahah EEEH BWANA

UJUE MI SINAGA SWAGA KABISA ANI

WRITTEN BY YOUNG C NB GANG

More Lyrics from Msodoki Young Killer Songs

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status