- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Yeah - Msodoki Young Killer
...
unaweza ukadai chako na ukala kipigo ukaacha dharau
njoo tukutue mzigo huo mzito usiletee unyang'au
auchi auchi ukucha samehe sahau
afu mussa usingoje haki juu ya ufalme wa farau
funika uliyoyapitia kwa kufungua ukurasa
now hakuna kusinzia maisha njiani ya leo na sasa
asa ili upate lazima utoe ukiruka unanasa
asa mi siendeshwi na endesha we acha kuniletea ufaransa
yeah
fungua kitabu nisome,
wanao onewa onewa waambie waone.
Na wasinzoee hata tone,
nawasije sogelea hii ngome,
mpaka nije niwaombee ndo mpone yoh men
Ukiona ulinzi ni mkubwa ujue usalama ni mdogo
kabla ya hizi trend kuja bado si wana tupogo
na wazee wa deal kubwa chaajabu wanatoa ndogo
bwanamdogo so rafiki muda ila usikae nao mbali unga robo
mjini shule zubaa ufunzwe jinsi ya kuishi
Africa nauza info huwezi endana na sisi
unaweza ukadai chako na ukala kipigo hukaacha dharau
njoo tukutue mzigo huo mzito usilete unyang'au
yeah
fungua kitabu nisome,
wanao onewa onewa waambie waone.
Nawasinzoee hata tone,
nawasijee sogelea hii ngome
mpaka nije niwaombee ndo mpone (yoh men)
hakuna kitu inaumiza kamoyoni patashika afu we usemi
hasira zimepanda kichwa dear uhemi
hauna vimiminika mademu walokumwagika kwa pembeni
umepigika ka mwizi aliekamatika magengeni
hukiwa mtumwa ujue hauwezi kujituma
zaidi yakumpa siri anae kupiliza na kutafuna
majibu ni yapo tayari maswali ndo hakuna
nawachache ndo uona mbele kwa kutazama nyuma
Rudisha form wagombea mitaa imenipa ushindii
utamu umekolea muda ni mchache vitu ni vingi
raha ya hip hop misemo
sheria ni msumeno
ila raha ya kucheka ahaha uwe na meno
mziki so kazi yakufungana na paka makengele
kuvunjiana heshima kuekeana mipaka ya milele
yani uingie hotel na kuagiza bapa na njegere
afu utinge chooni uanze kucheza sasa na segere
hata mkifuta mi nshasoma kiakili nishabalee
mistari inawochoma japo haina nyota mshale
mapinduzi kwa mtama piano tufanyie mazishi
kwaizi rhymes watakaa na hata nikki hapa abishi
look at me now ni zaidi ya uzima na nusu yake
ndo uwaambie pilau uwaga inaponzwa na harufu yake
mambo mwake mwake babake nauye kama nape tukikosa wino ndo basi si hatuwezi andikia mate
yeah
fungua kitabu nisome,
wanao onewa onewa waambie Waone.
nawasinzoee hata tone
nawasije isogelea hii ngome
mpaka nije niwaombee ndo mpone yoh men
ih ahahahhahahahah
oh
EeH BWANA
yia
balingo beatz wakazi men now am here
we youngster incharge
yah you what it know what it is
young killer ( msodoki )
Best In beast men he came in game hard and still blessin
umeelewa heh yeah keep banging
coz bad bad carry yeah bad bad carry
jiah
B○NG○ BEATZ....
lyrics by P○KAs