Mtafutaji Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Mtafutaji - Msodoki Young Killer
...
ehahahahahaahh
touch touch touch
ahaa ahaa
najua nlipotoka Naeshimu sana
Ndo mana nkipata pesa natulizana
ila ninapokosa nakimbizana, nipate nivimbe ninapo Toka na baby mama
mana umaskini unachosha na tumbo haridhiki
Ndo mana naomba mungu anipe zaidi ya hiki,
nipoze machungu, mwisho WA wiki,
kidogo niwape ndugu waso nisnitch,
hey
unatokaje ,
hauna pesa, hebu Nenda kalale,
Nenda disco kitajiri HAPO ndo utaitwa mkale,
hit Kali za bob Marley , ndani mbuzi nje chui , me nakujua ila biashara yangu haikujui,
haikutambui wapi umeona washkaji na kazi,
kama Dili Lete tu signe milango Iko wazi
na kama hauna mchongo ndo basi,
Sina chance
usinipigie simu kuusu Bata staki,
eeeee
marafiki unacheka nao, kumbe moyoni mwao Wana nunaa,
mwisho WA siku ukipiga bao, roho zao znabaki znauma,
ndo mana nnacho pata nagawana na..
na maskini wenzangu tunapigana,
mungu libariki jasho langu liangukapo usiku na mchana ,
nipe moyo wa utaftajiii
yeee iye iyeee yee i yee
mana mkombozi wangu kipaji,
yeee iye iyeee yee i yee
nipe moyo wa utaftajiii
yeee iye iyeee yee i yee
mana rafiki yangu ni kazi,
yeee iye iyeee, yee i yee
NAJUA RIZIKI WANGEGAWA BIMADAMU NINGEKOSA ,
HATA BUKU YA VOCHA,
MUNGU NIJALIE NIPATE HATA NUSU YA NDOTO ZANGU NINAZO ZIOTA,
MANA NMECHOKA KUSOTAA
nmetoka mwanza nmekuja kutafuta daar
ili nipate chochote ,
na kipaji Cha mziki kimenikuza mtoto wa mtaa
na ndo silaa yangu siku zote
yeah
na Kila asubuhi niamkapo naombaga Dua kuondoa mikos
nkifika kazini naongea na boss,
mikakati kampuni isipate losi
uku cheas vikombe vya kahawa juu ya visosi
Kisha nawaombea furaha ,wanaoniombea nifeli,
wakiniona pochi imejaa, alaf wao Wana njaa kweli,
misura imejaa heri, na tabasamu lenye pesa na Niko na mtoto wa ukweli anacheka
eeee
marafiki unacheka nao, kumbe moyoni mwao Wana nunaa,
mwisho wa siku ukipiga bao, roho zao znabaki znauma,
ndo mana nnacho pata nagawana na,
na maskini wenzangu tunapigana,
mungu libariki jasho langu liangukapo usiku na mchana
nipe moyo wa utaftajiii
yeee iye iyeee, yee i yee
mana mkombozi Wangu kipaji
nipe moyo wa utaftajiii
yeee iye iyeee yee i yee
mana rafiki yangu ni kazi!!
.................................
nipe moyo wa utaftajiii
yeee iye iyeee yee i yee
mana mkombozi Wangu kipaji
yeee iye iyeee yee i yee
nipe moyo wa utaftajiii
.......
mana rafiki yangu ni kazi iiii
aaha haha
Musa babaz
ujue me sinaga swaga kabisaa
msodoki