Loading...

Download
 • Genre:Hip Hop & Rap
 • Year of Release:2017

Lyrics

Sinaga Swagga - Msodoki Young Killer

...

hmmhahahahaha kh kh kh eemhh palaa ujue me sinaga saga kabisa.. Ila nmezaliwa kupambana maana ya kuishi ni kuiona kesho mnaniombea uhai ila naishi kwa Mateso na cha special kipaji nilichopewa na Mungu kama zawadi ya utafutaji me pamoja na ndugu mmh kuhusu kufunikwa siwazi kuhusu janjaro na young D mimi ndo mkubwa wao wa kazi tumewasifu kukimbia madogo wamepapita kwako leo umefikia mwisho tumechoshwa kelele zao kwa uwezo nishawashinda shikeni kisu mnikate ukweli kama huu machizi tunaosemaga wachache ukizidisha mikogo apa ndo pahala pake madogo kuleni muogo ili muone utamu wake hamna sifa vipi niwasifie daily mnabipu Leo nimeamua niwapigie nyie endeleeni kukua mtafika apa nilipo kwa Sasa hmn vifua siwezi kuwapa Siri nzito nasema Mimi young mwenye kila killer zake so young Zack Wala young mwenye alosto na Dona zake young generous msodoki Fulani mwenye vyeo vyake a.k.a ndimu yaani uchachu wangu ndo utamu wake mwake hahahahah unajua me sinaga swagga kabisa handsome boy asokuwa na matunzo kweny ubora wake mwake young killer mwanza mwanza ndo kwake yeah a.k.a ndimu yaani uchachu wangu ndo utamu wake asaivi bongo sio hip hop bongo kisingeli wanasema joa anabebwa mpaka nahisi Ni ukweli chuki Ni umasikini inapotosha Ila kwenye group la fake rapers admin hawezi kuwa ngosha mmenichosha naona mnahongwa simu mnataka na vocha mnakata stimu toka mmetoka nimechoshwa na ngoma zenu wapewa promo za kimemba me ndo mbaya wenu nnae wabomoa naku wajenga yaai arsenal wenga kombe waziwazi dawa ya Moto Ni Moto dawa ya pesa kazi kazi kipaji shazi shazi a.k.a mtaftaji yaani a.k.a kiboko ya watoto nazinazi iko wazi naua vichwa panzi wakifa tunazika Ila hatuziki mguu ukifa ganzi na dawa ukiingia vzuri Basi inaongeza dozi sijali Cha pozi zuri Wala Cha chafu pozi wote mabitozi watoto wa juzi madogo wote kwa game Wana uwezo wa kimo Cha mbuzi na kwanza hawana ujuzi Wana zari kwahyo nawaacha wale chumvi Ila mwisho watakuwa na kisukari ebwana hatari weeh hahahahahah ujue me sinaga swagga kbsaa yaani na atakae nijibu Ni demu wangu na mkiniacha mnaniogopa nimechoka hahahahah young killer mwanza mwanza mbona shikopa na Kama hamjanileta hamwez nirudisha nikotoka Sasa niogope kipi mbele ya watumishi hewa me waga sitishiki hata Kama nicho Nyimwa wew umepewa Sina mzuka mademu mastaa wano ng'ara ng'ara so G nako tuuh hata me pia nawala Wala wambieni Simba kuwa yanga ndo mabingwa kauli ya kujipanga siku zote Ni dalili ya kushindwa ninja ebu tuliza mbona unazungusha mwili kaa macho yalo kula kungwi asante Mungu ety sikuhizi wananiita chatu coz nameza baada ya Giza naongoza kuficha watu achana na wasanii viatu omba omba njaa tuu ambao wakifanikiwa hawapokelei simu watu ushamba wenu wa mikoa msiulete kwani unae sema unijui me wew anae kujua nan mmepaniki mbna mnachukia mpaka utani unaetaka kuwa mm saa na me ntakuwa nan enheeee machungu yatabaki kwa watawaliwa we need life revolution meen eeh vilesi it's time to wake up mmmh young killer msodokiiiii hahahaha unajua me sinaga swagga kbsaa yaani yeah prosed again mhhhh I know you miss me I miss you too This Lyrics written by @jamac411.

Similar Songs

Listen to Msodoki Young Killer Sinaga Swagga MP3 song. Sinaga Swagga song from album Sinaga Swagga is released in 2017. The duration of song is 00:03:53. The song is sung by Msodoki Young Killer.

Related Tags: Sinaga Swagga, Sinaga Swagga song, Sinaga Swagga MP3 song, Sinaga Swagga MP3, download Sinaga Swagga song, Sinaga Swagga song, Sinaga Swagga Sinaga Swagga song, Sinaga Swagga song by Msodoki Young Killer, Sinaga Swagga song download, download Sinaga Swagga MP3 song

Comments (4)

0/500

  New Comments4

  daudiiqghz

  oyoooooo oyoooo

  Tanzania

  Saumani

  big bro unatisha

  Tanzania

  ts mørgan

  mnaniombea uhai(maisha marefu)ila niishi kwa mateso[0x1f60d][0x1f60d][0x1f60e]

  Tanzania

  ts mørgan

  kwa sasa hamna vifua siwezi kuwapa siri nzito[0x1f606][0x1f606][0x1f630][0x1f60d]

  Tanzania

  +

    -   or   -

    -   or   -

    NG +234

      Please Select A Playlist

      Add New Playlist

      Share on

      Embed: Love & Light EP

      Custom Size :

      • Default
      • Desktop(300*600)
      • Mobile(300*250)

      Type :

      • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
      Get Boomplay Premium
      for
      Payment Method
      Pay With
       Review and pay
       Order Date
       Payment Method
       Due Today
       Flutterwave
        Subscription Successful

        Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

        Now you have access to all the features of Boomplay App.
        Payment Failed

        Please check your balance and then try again.

        You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
        Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
        Payment Processing...
        10 s

        Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

        Payment Processing
        Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
        About Order Status