Mtafutaji II ft. Barakah The Prince Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Mtafutaji II ft. Barakah The Prince - Msodoki Young Killer
...
Geto nawaza nifanyeje ili niweze kusavive
Ila yote ni life
nashindwa hata kuishi na wife
Me dereva wa maisha yangu
ila nashindwa kudrive
Maumivu makali zaidi hata ya kuchomwa na knife
Nishaomba msaada kwa ndugu wakanikana live live
Sina hela sina kazi na afya yangu ni dhaifu wako lawaitu utumbo empty njaa inanipiga nashindwa hata kutembea
kutatua hiz shida
Na shinda tu street
Hata nikinywa maji hayapiti
Namuomba mungu
nashangaa ridhiki yangu haifiki waenda
damu wanadhiki nyumbani hapa kaliki yani week haisukumiki hata kwa sukuma week najizima data niende wapi na hapa itakua vipi japo nishajua yupi ni adui yupi rafiki
Fedha za kodi nilibeti afu mkeka aujatiki
Mavazi yamechaka hayatakati hata kwa jiki