Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2023

Lyrics

Go Ahead - Msodoki Young Killer

...

Yeah

Msodoki the son on the building

Leo

Umbwa achane uvusha mipaka

Naizo pumba Sahani moja

Lazima tule huu mwaka

Naluka tik taka

Kipa uwezi Nyaka labda ujoin tu uwe Chama kama mwamba wa lusaka

Visit your memory weka Seso iwe hai

Ngombe wa maskin Atazaa kama mbwai iwe mbwai

Mwana jeshi nsio na gwanda nilio apishwa maji ya kalai

Na huu ni mfano tu siwezi kuvunja kwa Shoka mayai

Na ujinga ni wakati wa kwenda sio kurudi

Mtu anakesha kama bundi familia zinapata food

Kila atua dua hakuna alie Kaa tu ikawa gudi

Siku zote mafanikio uwenda na juhudi

Nikanyage baati mbaya nkuripue makusudi

Usipo leta Unafala sina ubaya welcome to my hood

Na ukija kwenye hisabati Michano ndo umebugi

Mistari ni mingi yani ata zaidi ya ndevu za wayahudi

Take my time listen to me niku teach zaidi ya veta

It’s my crown give to me au mpaka nikuite heater

Over and over again mambo ubadilika na ambacho hakipo ndicho ambacho kinahitajika

Oh yeah

Go ahead. Go ahead

Haina Aja ya kusimama we go ahead

Go ahead watu wanakutazama we go ahead

Go ahead

Wengi wanataka dawa na sio tiba

Mwili wangu una power iliyo shiba

Mvivu haishi kulia shida

Jua umekula hasara Kama umeshiba faida

Uu ndo ujana na ujuzi Msodoki anakinukisha Kama Choo cha wanafunzi

Kubali kataa hii ni voice ya mtaa

Wazo bora harialibiki Kama nguo hisio na utunzi

Ukilewa sifa utaisha kabla ujaanza unaweza ukachonga kinyago na hikakutisha amini kwamba

Ujuzi wa fitna shine bila ya pamba

Na ukigusa tu unanasa Kama waya Usio na gamba


It’s my time listen to me nikuteach zaidi veta

It’s my crown give to me au mpaka nikuite heater

Over and over again mambo ubadilika inaweza ingia ata chooni ukatoka una Wazo jipya

Akili kwenye kichwa usije ukatufelisha

Ugonjwa wa nyumba yenye mlango wa ufahamu aina dirisha

Yani unaweza ukafika mwisho afu ujui uanzie wapi kama unataka mashiko muulize Khadija anakopa wapi

Go ahead

Go ahead haina aja ya kusimama we go ahead

Go ahead

Watu wanakutizama we go ahead

Go ahead haina Aja ya kusimama we go ahead


@jovingeniuss@gmail.com

More Lyrics from Msodoki Young Killer Songs

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status