Better Than Me ft. Barakah The Prince Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Better Than Me ft. Barakah The Prince - Msodoki Young Killer
...
Uuh ah eh ya eh eh eh ya
Unawekaje jealous kwenye moyo wako haifai
Wakati tushakula kiapo long time
Nashindwa hata kuelewa utakacho sometimes
Niskize mwenzako one time
Nahitaji meditation
Kama kosa nionyeshe
Usinikomeshe nionyeshe darling
Please don't be liar, njo unipe direction
Inaumiza kuona wa kunfariji ndo ananliza
Ooh nahitaji onana na weee, niseme nawee
I miss you, mpaka hata nashindwa kulala
Naa hitaji onana na wee, niseme nawee
I miss you, mpaka hata nashindwa kulala
Mi nashindwa kulaa, huku mwenzangu umenunua
Napata tabuu, (I miss u, I miss u, I miss u)
Ilaa, niambie niwe free, kama una mwingine
better than me, better than me, I miss u, I miss u, I miss u
Utapenda tuonane wapi baby share na mi location
ingia online tuchat chapu turudishe connection
Usniache na maquestion, rudisha attention
Mwenzako sijipati kila muda nakumention
Umejenga hasira na hila kunikataa
Sikuzani baby kama unaweza kwenda far
Tumeangukia pabaya wapi tulipojikwaa
Maneno yangekuwa chakula skio lisingelala njaa
Baby is not over, upendo umepooza staki kuamini kwamba ulipo kuna mtu anachovya
Daily nna hang over, na hangover nambie basi unarudi ama ndo game over
Kila kona barabara, stend kota daladala, tulikuwa tunang'ara ng'ara, kitandani tunagala gala
Sa vipi kipenzi unazua msala, naongea chozi shavuni leo siku ya tatu sijala
Mi nashindwa kulaa, (don't do like that)
huku mwenzangu umenunua
Napata tabuu, (I miss u, I miss u, I miss u)
Ilaa, niambie niwe free, kama una mwingine
better than me, better than me,
I miss u, I miss u, I miss u