Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2022

Lyrics

Yanatisha Sana - Ambassadors of Christ Choir

...

Ataniepusha na dunia hii katili

yanatisha sana, matukio duniani

siku nenda (siku nenda) siku rudi, maovu huongezeka

hakuna amani, nina wasiwasi

ninahatarishwa moyoni na hayo yote.

lakini ninatiwa nguvu nalo agano

na yesu Mwokozi wangu

anaposema kwamba muda mfupi sana

ataniepusha na dunia hii katili ×2

instrument.....

wengi husema kuwa ipo amani

mambo yote (yote) mema tufurahi na turidhike

lakini roho husema nasi waziwazi

kwamba siku hizi za mwisho ni za shida

lakini ninatiwa nguvu nalo agano

na yesu Mwokozi wangu

anaposema kwamba muda mfupi sana

ataniepusha na dunia hii katili ×2

instrument..........

Ndugu sikilizeni, wito wake muumba

atushauri (atushauri) tujitenganishe na hizo vurugu

maana yaliyosemwa ni kweli yanatimia

amua bhasi bado ikiwezekana

lakini ninatiwa nguvu nalo agano

na yesu Mwokozi wangu

anaposema kwamba muda mfupi sana

ataniepusha na dunia hii katili ×3

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status