Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2015

Lyrics

Jana Na Leo ft. Stamina Shorwebwenzi & Quick Rocka - Msodoki Young Killer

...

Classic sound

De classic

Money

Yoo

So kila young ni killer uwezo utajieleza

Na so kila sharobaro imeandikwa atafia muheza

Vaa pendeza nenda disko cheza ila mwisho utambue mkufu hausimami hata ulishwe pweza

Nipe kipaza msodoki kama unaitaka shughuli

Nlipotoka kuna noti vipi nsote na sifuri

Lock nyeti zako kwa kifuli acha kiburi we demu unaelia huku unaikoki pistol

Ya duli

Zile za kubuni au kukopi na kupesti mi muhuni ambaye toka vidudu nalala gesti

Usijaribu kutest kwa mwanza ukinitoa mimi nafill card gondo lapa best

Hama kambi shoga maana unashangaza

Kwako inanoga ila si jakaya kakataza

Mombasa wanakuwaza amin brother kama pesa mawe jiji tajiri ingekuwa ni mwanza

Wanashangaa eti wapi natoa rhymes

Huu ndo muda wa mataila si ina maana star times eeh

Mi ni mshamba wa mwanzamwanza kwenye poli ila demu wako anipe namba

Atakusimulia magoli

I’do me kwan hata nilipo anza walisema mimi kitu gani

Siwasikii bado nasonga nakimbiza haijalishi natoka city gani

Aaa am so yeyeye

Young killer mwanza mwanzaa

Wowowo stamina moro town

Aaa am so yeyeye

Mbeya city stand up

Wowo wowo

( stamina)

Yoo aah

Mnaojiita wakali hizi salamu ziende kwenu mi ndo yule mc hatari naeogopwa na bouncer wenu

Siogopi shari snitch ndis nlete kwele nina mistari mikali hadi rwanda ananionea gere

Tega kichwa ili upate mistari kwenzi na maujanja yasojificha kama lafudhi ya kizenji

Mjenzi wa tenzi naejenga jengo la urhymes vichwa panzi hawaniwezi kwa ukwezi wa hizi bumps

Dondosha chozi kama una jicho la huzuni

Hili ndo kovu la ngozi halifutiki kwa sabuni

Mziki nmeuanza kale hadi leo sijaitwa pepe

Kipofu mwenye machale naijua hadi chuma ulete

Pusha kaa mbali mentali sivuti kushi nna mistari mikali hadi george anarudi bush

Beki umechoma timu yetu hatukupi ndondo

Daily narusha mangoma kama nna undugu na msondo

Ndoa ngumu na mke mwema sijapatiwa japo mke wa mtu sumu ila gheto nna maziwa

Siuzi kwa loss ila loss inanipa lecture

Bongo jua la utosi hadi juma anakosa lecture

’do me kwan hata nilipo anza walisema mimi kitu gani

Siwasikii bado nasonga nakimbiza haijalishi natoka city gani

Aaa am so yeyeye

Young killer mwanza mwanzaa

Wowowo stamina moro town

Aaa am so yeyeye

Mbeya city stand up

Wowo wowo

(Killer)

Yoo

Mi nna moyo wa young killer sina moyo wa subira

Shule sijawahi kufunzwa kwa chief ni Q chillah

Nizoom kwa taswira verse zina hasira

Wengi wanaobebwa mwishoni ndo wanachezwa kama mpira

(Stamina)

Wana ukubwa wa miili akili size ya diclopal

Uzito wangu wa mashairi haushushwi kwa chupa vodka

Njiti wa vina nlikua bila malezi

Mc’s wengi wa kichina bado wana ufeki wa tenzi

(Killer)

Ukiwa shujaa kama young killer kuwin master watu wanalia njaa hadi mwembechai hakuna breakfast

Nagawa tenzi na washenzi hawanipati

So naangaika kuwa na ujenzi eti kisa nakula bati

(Stamina)

Sitemi kimombo hii ni bomo yenye part

Inakuwaje urudi kongo huu ndo uboro wa kimang’ati

Beat inavuja damu nimeibaka bila huruma

Mziki vita ya kalamu ni mwiko kurudi nyuma

Ukiniacha tunda mnafki utakula maganda hata ukifa umelala hauwezi kuzikwa juu ya kitanda

Sijilindi na ustaa najikinga na ukimwi naogopeka kila mtaa kama lizindi na zimwi

I’do me kwan hata nilipo anza walisema mimi kitu gani

Siwasikii bado nasonga nakimbiza haijalishi natoka city gani

Aaa am so yeyeye

Young killer mwanza mwanzaa

Wowowo stamina moro town

Aaa am so yeyeye

Mbeya city stand up

Wowo wowo

More Lyrics from Msodoki Young Killer Songs

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status