Toto Tundu ft. Bright Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2017
Lyrics
Toto Tundu ft. Bright - Msodoki Young Killer
...
....
...,Mbeya, ....
haha..hah..hheh eeh. kill records...eehh
killer)Baada yakujua kuwa duniani wawili..wili
Nikaanza kumtafuta mwandani kisiri siri
Wakucheza nae kitandani makirikiri
Michezo flani yakuinama kuchuma pilipili
Zile moja mbili, atikisa inyehakuna kusubiri mwanaume mashine..
Zile kachill sagani pale kati usipime ni mwendo wa sarakasa na Michezo mingine
Nihatari ya kucheza na mamba kwenye maji,
Ama safari ya toka dar to mwanza kwa bajaj,
Ama kidonge cha flagin umeze kwa konyagi
Ila sio kutazama X mbele ya wazazi, aanh! twende kazi,
Awe huru asijekufuru kwa Mungu wake,
Hadi na Ngurukuru kumgende kwa bibi yake
Awe mnyaturu, Na hata kama ni uzurumwake
Me ndo nuru yake,duru lake mk▪︎ungu wake.
Bright) Nataka ningegusa wabu bila shimoni, samaki kanasa nyavu tamu kisogoni mtoto anamaajabu anishii ndotoni , hata kwake sina shaka najihisi peponi,,
Namaanisha toto tundu, awe toto tundu
Namaanisha toto tundu,, yani toto tundu
Zile (papasana)×2 kwenye giza hatuhitaji tochi,kama lisa natia kofi
Chora saba kamatia goti, utamu ukiwa ndi name nipo free nafungulia koki,,waah!
Vendaitwe mama niitwe daddy,
ndo matunda ile nyama nyama na siagi
Awe amefundwa so analeta umaridadi, halafu amefungaa kiinama lawama na midaDi..
Sanatokaje kizembe na akirudi ka anakwenda
Akiwa na chuchu kama M, na mwenye lips za denda
Namwenye utamu wa tende na style zote ukupenda ,ile kifo cha mende au mbuzi kagoma kwenda!!
Awe huru asijekufuru kwa Mungu wake,
Nimwite Nuru mpaka kasuru kwa bibi yake
Awe mnyaturu, Na hata kama ni mruguru mwake
Me ndo nuru yake,duru lake mk▪︎ungu wake.
Bright) Nataka ningegusa wabu bila shimoni, samaki kanasa nyavu tamu kisogoni mtoto anamaajabu anishii ndotoni , hata kwake sina shaka najihisi peponi,,
Namaanisha toto tundu, awe toto tundu
Namaanisha toto tundu,, yani toto tundu
,,, kill....!!!)
killer)Awe huru asijekufuru kwa Mungu wake,
Hadi na Ngurukuru kumgende kwa bibi yake
Awe mnyaturu, Na hata kama ni uzurumwake
Me ndo nuru yake,duru lake mk▪︎ungu wake.
Awe toto tundu, yani toto tundu
Namaanisha toto tundu
...hahah,,hahah,,,hahaqh...
Ujue me sinaga swagga kabisa yani!!!
official: @kelvin Benson01