Rudia Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Rudia - Msodoki Young Killer
...
Ebwana nimezaliwa kusema mi nasema
ukishindwa kunitafsri we relax labda utanielew mwakani
for now mama rudia ana watoto wawili
wa pili anaitwa tena
niambieni asa wakwanza ataitwa Nani
pozi kumpoza chozi kumlenga
yaan naamua kumposa yule mlioamua kumpenda
so kijua ndo hiki usipoanika unautwanga mbichi
karibu tule Ila nenda kanawe Coco Beach
sorry umenikuta leo na bad mood
na zege halilali hii habari iende mbali mpaka Hollywood
halaf Niko very serious sichek na kima hawaniambii kitu
Kwanza wakiskia kuhus mimi tuu mnawaharibia sku
we usiniharibie wasifu pumbavu
hamjui kuchana hamjui kushona
washamba kuongea hamchoki enough
I'm the first and only kipenzi Cha hii rap
mwanza mwanza nawaachia hii njia kwa hii rough
msodoki for hip hop stay one your line
my mama nikiumia ana feel the same pain
I'm hustler nikicompare garasa mie Simu wote navua nguo nusu Mara kitako Mara kima
halaf napita msata mpaka chamwino
sio kila beki ni tatu Ila kila snitch ni chatu
sio kila mechi ni tatu sio kila pesa madafu
mi akili zang ni chafu halaf pili mi mtu Wawa... (shit)..
natia huruma usicheze na mi msukuma
rudini kwa aliewatuma kabla sijapitia...(mnachekesha nyie)
I know me naweza nkakupaka machupa kwa mgongo wa futa
naukanyaga tu waya kinanuka
let me say, don't ever let your dream disappear
nilivyo haina tofauti na mnavyoniskia
Kwanza ukiniwaza unasinzia (msodoki the son)
kill yourself for earn my garden flan (god yes plan) golden fan
kikubwa pumzi siku hazifanani
Kama mungu kapanga asa nyie akina Nani
hio hata kwetu wapo mlipo wapo
hawacheki nawe Ila we ndo unacheka
hapo usipotumia uwezo wako ukaitimiza ndoto yako ndo watatumia uwezo wako kutimiza ndoto zao ( you see)
kuingizana mkenge ndo uwanadamu
zile rizki Mungu ambavyo anaitoa anagawa zamu
ngoja Kwanza Adam nijitanue ndo hao wacum
wangejua kua sijisumbui wangetoa jam
sometime yaan ni kusahau waliokusahau
shobo za kumix mrenda kwa pilau mwisho inakua jau
kwa tulipotoka na hapa tulipo angalau
na day after day tunapanda dau
wanabaki too much sadness
took at Beijing so make sure you hurting blengbling
waiting heinying
maisha mafupi tucelebrate
watu hawaamin eti kua mimi na pesa tunadate
yaan huwez nyimwa ka huombi
unakosa haukondi
unasemwa hauchongi
unamengi haubongi
una pesa haubongi
ni Kama haujui unapokwenda kwaio sehem uliokuwepo utahis umefika
ni funzo kwa hii saut inaposkika ko usipuuze babu
wanasema hakuna adui mbaya Kama sifa
kafany watu wengi wamehaibika na kupata tabu
tulia utapata shavu
usiishi kwa kulenga
umaskini ndo unafany mkipewa pesa mwone ndo mnapendwa
na kisichoniua kinanikomaza kiaskari na ukinichukia inadhihirisha mi mkaaali...
ubaya ubaya we jiheshimu uheshimiwe
yaan chuki ni bure labd ungeomba Mungu usizaliwe
Ila as long as tupo hai kila kitu yechu
we umechelewa kunijua labda ungeniulizia kwetu ooh
fupi tamu amini kwamba inayokera ndefu ooh
ishi usimangwe kufa usifiwe shujaa wetu
yeah... no mission without vision
pesa haziji kwa maombi pekee, fanya kazi
sometime nawaza nimekujaje kwa hiki kizazi
Cha watoto wanaojitundikia vitanzi
cheki wanapandishwa wanalega kata k ona matako wazi
na mi ndo silazi yaan nachapa kazi
nafikiri ipo wazi wajumbe....
(....). eeh bwana (....)