Upendo Wa Kweli Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2014
Lyrics
Upendo Wa Kweli - Ambwene Mwasongwe
...
siku moja nilipigiwa simu ilikuwa simu ya mwaliko
jumapili tutamshuruku mungu kwa sadaka ya pekee uje uimbe kanisani kwetu
mda ulipofika wimbo ukaimbwa wao wakaja mbele wamemtanguliza kijana na binti moja msemaje wao akaanza kuotoa hutuba mfupi kabla sadaka haijatolewa
mungu ninakushukuru sana kwa kwa kumponywa binti yangu aliyeugua kichaa pia ninakushukuru kwasababu kijana huyo alionesha upendo waajabu nilipomwambia achana na mwanangu hakufai tena yeye alijibu nimempenda nitaoa hivyo hivyo
sijawaiona upendo kama huu
sijawaiona upendo kama huu