Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2021

Lyrics

Moyo Wa Ibada - Ambwene Mwasongwe

...

Wengi wamekusifia

Wengi wamekuimbia

Wengi wamekutolea Bwana

Sadaka na maombi mazuri

Na ibada

Natamani nikusifu

Natamani nikuimbie

Nataka nikutolee

Ibada, sadaka na maombi hujawahi kuyasikia

Ila maneno yananipelea

Na matendo yananikosa

Yamepimwa kwenye mizani

Yameonekana ni mepesi

Mawazo yangu hayatoshi

Fikra zangu ni laini

Hata niweze kukusifu

Uketiye patakatifu

Sasa naomba, maneno

Na Mawazo ya moyo wangu

Yapate kibali mbele zako

Kweli wewe ni Mungu

Ni wewe

Ni wewe Bwana

(Wewe ni mtakatifu)

Ni wewe

Ni wewe Bwana

(Jina lako mkweli )

Ni wewe

Ni wewe Bwana

(Hakuna kama wewe)

Ni wewe

Ni wewe Bwana

(Matendo yako ni Makubwa Bwana )

Ni wewe

Ni wewe Bwana

(Shuhuda zako hazina maswali)

Ni wewe

Ni wewe Bwana

(wewe ni mtakatifu)

Ni wewe

Ni wewe Bwana

(Hakuna kama wewe Bwana )

Ni wewe

Ni wewe Bwana

"" "" ""

Nimeshindwa kuhesabu

Ulofanya kwangu hayahesabiki

Hakuna namna yoyote inayoweza

kupima wema wako kwangu

Nimetafuta kitu gani

Nilichoanza kukupa

Ili unirudishie

Nimegundua nilivyonavyo vyote

Wewe Mungu ndiwe ulianza kunipa kwanza

Nikurudishie nini

Kwa ukarimu ulonitendea

Nime jaribu kufanya vizuri

Ili yamkini niwazidi wote

Ila, nimetafuta sadaka nzuri nitoe

Ibrahimu ameniwahi

Nimetafuta moyo mzuri wa upole

Moyo wa Musa umenishinda

Nime tafuta staili nzuri nicheze

Daudi kacheza zote

Sasa naomba maneno

na mawazo ya moyo wangu

Yapate kibali mbele zako

"" "" "" "" ""

Sasa nimeshasogea

Kwenye vilindi vya moyo wa ibada

Huko yanakosikika

Maneno haijuzu mwanadamu kuyanena

Ila ninatetemeka maana kiti chako

Kina utukufu mwingi

Na tena Jina lako

Unaitwa Mungu wa yasiyo wezekana

Wewe waweza chota maji kwa wavu

Tena waweza kuhifadhi giza nuruni

Wewe waweza kupanda mlima

kwa baiskeli isiyo na mnyororo

Wewe waweza piga mluzi

Huku umefumba maji mdomoni

Wewe waweza vunja jiwe kwa yai

Waweza nasa chuma kwa kijiti

Napata ugumu wa kukusifu Bwana

Maana sifa hizi unazijua zote

Sasa naomba maneno

na mawazo ya moyo wangu

Yapate kibali mbele zako

Kweli wewe ni Mungu

Ni wewe (Hilo ndilo Jina lako)

Ni wewe Bwana

(Hizo ndizo sifa zako)

Ni wewe

Ni wewe Bwana

Ni wewe

Ni wewe Bwana

(wewe mfalme wa wafalme)

Ni wewe

Ni wewe Bwana

(Matendo yako ni makubwa)

Ni wewe

Ni wewe Bwana

(Shuhuda zako hazina maswali)

Ni wewe

Ni wewe Bwana

(Wewe ni mtakatifu)

Ni wewe

Ni wewe Bwana

(Hakuna kama wewe Bwana )

Ni wewe

Ni wewe Bwana

Ni wewe

Ni wewe Bwana

Ni wewe

Ni wewe Bwana

Ni wewe

Ni wewe Bwana

Ni wewe

Ni wewe Bwana

*

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status