Kaa Nami Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Kaa Nami - Ambwene Mwasongwe
...
Bwana Bwana kaa nami
Kaa nami(kaa nami Bwana)
Kaa nami (kaa Nami Yesu)
Bwana(mnmh) kaa nami
Nifundishe Neno lako Bwana (kaa nami)
Nipate kukujua wewe(kaa Nami)
Kaa nami Bwana (Bwana kaa Nami)
Adui zangu wamejipanga
Wanataka wanimalize wanile nyama
Nikitazama macho yao Hawa utani hawa
Wamedhamiria wanimalize
Bila wewe sitaweza kupigana
Nipiganie nakuomba
Baba kaa nami (kaa Nami)
Kaa nami(kaa Nami)
Nitetee (Bwana kaa nami)
Peke yangu sitoweza (kaa Nami)
Nakuomba (kaa Nami)
Nipiganie (Bwana kaa nami)
Ohhhh!
***"
Nifungue macho Bwana ya rohoni
Nipate kuona ya gizani
Ulivyoahidi mwenyewe kulipa kisasi
Juu ya adui zangu wanaonitesa
Ukinifungua macho nitakutukuza
Nikiona matendo yako yalivyo makuu
Kama wewe Bwana(kama {ohohh} ukikaa Nami)
Vita(Vita {ooohooh} nitaishinda)
Mwendo wangu nitaumaliza vyema kwa imani(Mwendo nitaumaliza)
Haleluya(mbinguni Nitaingia)
Wewe ni kama mama wa tai(kaa nami)
Mimi ni kifaranga chako(kaa nami)
Nikiwa kwenye mafunzo (Bwana)
Nguvu zangu zikiisha (kaa nami)
Bwana utaniokoa(kaa nami)
Bwana utaniinua (kaa nami)
Wewe kaa nami Bwana (Bwana)
Mnh (kaa nami)
Bwana Bwana kaa nami(kaa nami)
Kaa nami Bwana (kaa nami)
Kaa nami Yesu (Bwana)
Mnhh(Kaa nami)
Nifundishe neno lako Bwana (kaa nami)
Nipate kukujua wewe(kaa nami)
Kaa nami Bwana (Bwana kaa nami)
><><><><><><><