Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2021

Lyrics

Unikumbuke - Ambwene Mwasongwe

...

nimekuita waambie watu ushuhuda wangu

miaka tisa nimekaa jela

nilifungwa kwa kosa lakusingiziwa

namshukuru Mungu nimetoka..

Usiku ule nilikamatwa kama mchezo na mke wangu na Mtoto mdogo

nikadhani labda walikua wanatania, labda ilikua siku ya wajinga

Hakuna mtu alielewa ukweli wa maneno ya ushahidi wangu,

wala sikua na wakumueleza akanielewa

Mazingira ya kesi, ushahidi, sheria za kazi zilibana mpaka mke wangu kaniambia kama umefanya kiri kosa tujue moja


Unikumbuke ( Kumbuka haki yangu sikufanya ubaya) Nikumbuke (kumbuka sikufanya ubaya)

Nikumbuke (Namna walivyo nishtaki kwa hila na wivu)

Nikumbuke ( Bwana unikumbuke mimi eeh..kumbuka Bwana haki yangu)

Uwakumbuke (mke wangu alivyokufa nikiwa jela) Uwakumbuke (Kaungua kwa moto akiwasha mshumaa ndani ya nyumba) Uwakumbuke (mkumbuke mtoto mchanga asie na hatia) Uwakumbuke (kama ningekuepo angepona) Mkumbuke dada aliye baki alikufa kwa mshituko kwa ajili yangu


Nilidhani Mungu kalisahau file langu, nikadhani kwamba nitaaibika , sikuwa tena na tumaini lililopangwa, haki yangu ilikua tumaini pekee

waweza elewa shahidi wangu alikua Mungu labda na wale walio ua mwisho wa siku Mungu alinitetea wa walio fanya kosa kuonekana

Haki yangu ikastawi kama Mtende na mweli wa Lebanoni

walinichimba hawakuning'oa,sababu ya Mungu waliniinamisha hawakunivunja, Walinitikisa sikupukutika, walinichuma ili niishe eeh Bwana ulinitetea na haki yangu


Unikumbuke ( Kumbuka adui walivyonizunguka)

Unikumbuke ( Kumbuka ushahidi wa maneno yao)

unikumbuke ( Kumbuka walivyonichafua jina langu)

unikumbuke ( Kumbuka walivyoniona kuwa ni dhaifu ukalisafishe jina langu)

Uwakumbuke ( Wakumbuke ukarehemu makosa yao)

Uwakumbuke (Japo walifanya ubaya Mungu wasamehe)

Uwakumbuke ( Nilienda Jela nikiwa bado sikujui)

Uwakumbuke ( Nimetoka nimeokoka Nakujua, Nikumbuke Bwana Unikumbuke usinisahau)


Natangaza Fadhili zako

Nimekumbukwa, Nimefurahi

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status