- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Amen - Mathias Walichupa
...
Ninayo sababu ya kusimama mbele za watu kwa ujasiri, mmmmhhh niziseme shuhuda zako Bwana Wangu jinsi Wewe ulivyonisitiri, na kama ungeniacha me nisingeweza ningeliangamia angamia kwa Neema yako nimeweza maana umenisimamia, simamia,
Najitabiria mabaya yote hayana nafasi, kwa jina la Yesu ninakiri kupokea ushindi, umo uwezo kinywani mwangu(Amen)
nikitamka(Amen)
inatimia (Amen)
sawasawa na kusudi lako(Amen)
Hata kama sioni dalili (Amen)
Nina imani nawee utafanya Yesuu(Amen)
Oouuhhhh
Kama ni Mali , fedha na dhahabu mimi nitavipata tu, ambavyo wazazi Wangu hawakuvipata nitavipata tu, kuongezeka imani niyashinde majaribu nitafanikiwa kuishi utakatifu niione Mbingu nitafanikiwa
Najua hali ngumu zinakikomo si zakudumu ila Neno la Mungu na mipango yake inadumu milelee,
see lyrics >>Similar Songs
More from Mathias Walichupa
Listen to Mathias Walichupa Amen MP3 song. Amen song from album Amen is released in 2023. The duration of song is 00:03:49. The song is sung by Mathias Walichupa.
Related Tags: Amen, Amen song, Amen MP3 song, Amen MP3, download Amen song, Amen song, Amen Amen song, Amen song by Mathias Walichupa, Amen song download, download Amen MP3 song
Comments (61)
New Comments(61)
sara victor
119100778
qaliii
magreth Faustin ndunguru
Hii nyimbo haichoshi kuisikiliza, inanipa sana nguvu ya kuendelea kupambana❤
maganga5czj0
huu wimbo ni mzuri
Rachel Enoch
Walichupa mathias i wish nikuone one day na mm pia napenda kuimba ilaa huu wimbo ni mzur
sarahd54tq
I like it may God raise up
Ammyaltamimy
Amen
Keymeat
Amen
masanja johnjm7s7
[0x1f60e][0x1f60e]
masanja johnjm7s7
[0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e]
BEEATRICE BULAYA 269nl
l can't explain the way l like diz song but l pray for you to continue sing more blessing song like diz one .May God bless you too
barikiwa sana