Kaa Nami Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Bwana bwana Kaa Nami
Kaa nami *2
Kaa nami Yesu
Bwana kaa nami
Nifundishe Neno lako Bwana
Nipate kukujua wewe
Kaa nami Bwana
Bwana Kaa nami
Adui zangu wamejipanga
Wanataka wanimalize
Wanile Nyama, nikitazama macho yao
Hawanautani hawa, wamedhamiria wanimalize
Bila wewe sitaweza kupigana
Nipiganie nakuomba
(Chorus)
Nifungue macho Bwana, ya rohon nipate kuona
Ya gizan ulivoahid Mwenyewe kulipa kisas
Juu ya Adui