Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2021

Lyrics

Utoshefu - Ambwene Mwasongwe

...

Nime jifunza kuwa radhi

Katika hali yoyote niliyo nayo

Najua kudhiliwa, tena na kufanikiwa

Katika hali yoyote

Na Katika mambo yoyote

Nimejifunza kushiba

Na kuona njaa

Nimejifunza kuwa na vingi

Na kupungukiwa

Nayaweza yote kwa anitiaye nguvu

Utauwa na kuridhika vimenipa utoshefu

***

Furahini siku zote katika Bwana

Anasema ndugu zangu Furahini

Upole wenu ujulikane na watu wote

Bwana yu karibu Kuja

Furaha niliyonayo ni tunda la Roho

Furaha Hiyo hailetwi na vitu

Sisubiri nipewe ili nifurahi

Nafurahi hata kwenye mateso

Upole nilionao umetoka kwa Roho

Hautegemei ninavyotendewa

Amani ya KRISTO imenitawala ndani

Naimba wimbo wakati wa shida

Imenihifadhi moyo na Nia yangu

Ninayapenda mambo ya staha

Haki, usafi, kupendeza na sifa njema

Ukiwepo wema wowote nautafakari

Nafurahi nimehuishwa fikra zangu

Nafurahi nimeridhika na Utauwa wa Bwana

"" "" ""

Upendo wa Dunia hii una sababu

Sababu hizo zikiisha huisha

Upendo huo ni wa nipe nikupe

Vitu vikienda na upendo umeenda

Furaha ya Dunia hii ni ya sababu

Ukivikosa vitu inaisha

Amani ya Dunia hii ni ya sababu

Hutengenezwa na mazingira yasiyodumu

Naupenda

Utauwa(niliopokea kutoka kwa Bwana) na kuridhika vimenipa utoshefu

(Naupenda) Utauwa (na sifa njema) na kuridhika vimenipa utoshefu

Utauwa na kuridhika vimenipa utoshefu

Ooo!

"" ""

Nitawapenda watu tena nitawaamini

Nitakupenda zaidi wewe usiyeumiza

Nitafurahi tena nitatabasamu na kuonyesha

Mwanya, ila sitawapa moyo

Moyo hudanganya

Nitaukabidhi kukupa wewe uliyeuumba

Moyo huua

Sitampa mtu maana haujui

Watu wanatibu ila wewe waponya

Wao hunenepesha ila wewe unawandawisha

Japo twaanguka twaumia twateseka

Tunalia

Wewe Bwana ni Faraja yetu

Nimeridhika na Utauwa umenipa kutosheka

Nimeridhika nimekupa moyo wangu uutawale

(Katika jumla ya yote)

Nime jifunza kuwa radhi

Katika hali yoyote nilivyo nayo

Najua kudhiliwa, tena na kufanikiwa

Katika hali yoyote

Na Katika mambo yoyote

Nimejifunza kushiba

Na kuona njaa

Nimejifunza kuwa na vingi

Na kupungukiwa

Nayaweza yote kwa anitiaye nguvu

Nime jifunza kuwa radhi

Katika hali yoyote nilivyo nayo

Najua kudhiliwa, tena na kufanikiwa

Katika hali yoyote

Na Katika mambo yoyote

Nimejifunza kushiba

Na kuona njaa

Nimejifunza kuwa na vingi

Na kupungukiwa

Nayaweza yote kwa anitiaye nguvu

Nime jifunza

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status