Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2021

Lyrics

Wewe Ni Mungu - Ambwene Mwasongwe

...

Instrunmental

Wewe ni Mungu, wewe ni Mungu wewe ni Mungu

Utabaki kua Mungu

Wewe ni Mungu, wewe ni Mungu wewe ni Mungu

Utabaki kua Mungu

Katika safari ya maisha (oooh)

Bila wewe bwana tusingeweza,

Maisha yenyewe haya kama mvuke (eeeh)

Tena yanyauka kama maua

Ila wewe bwana ni wa kudumu sana

Una historia ndefu ya kuishi,

Unatujua wanadamu jinsi tulivyo

Umetutoa mbali toka enzi hizo

Umeishi na watu wakila namnaa oooh

Unajua wapole na wakorofi eeh

Bado utabaki kuitwa Mungu

Maana peke yako ni mtakatifu

Ndio maana twasemaa usifiwe bwana

Ndio maana twasemaa waastahili

Wewe ni Mungu(aah), wewe ni Mungu(aah) wewe ni Mungu

Utabaki kua Mungu (aah)

Mwanadamu akijigamba na kujivuna

Hawajui yakwamba wewe ni mzee wa siku

Sijui wanajivunia kitu gani

Wakati miaka yao yote ni michache

Ni bora wakarudi nyuma kwenye historia

Watagundua kwamba unaozoefu wakutosha

Mungu umewai kuishi na wakorofiii

Walio utawala ulimwengu kwa kiburi na jeuri

Lakini bado wewe ulibaki Mungu mtakatifu

Lakini bado wewe ulibaki Mungu mwenye rehema

Wako wapi leo wamepotea

Walivojivunia hawako navyo

Waamenyamaza kimya hawapo

Ila wewe unadumu milele eeeh

Mimi nitajipendekeza mbele zako

Nipaate usalama wa roho yangu

Kwasababu wewe Mungu ni wa peke eeeh

Ndio maana nasema utabaki kua Mungu

Wewe ni Mungu(aah), wewe ni Mungu(aah) wewe ni Mungu

Utabaki kua Mungu (aah)

Wewe ni Mungu(aah), wewe ni Mungu(aah) wewe ni Mungu

Utabaki kua Mungu

Wewe ni Mungu(aah), wewe ni Mungu(aah) wewe ni Mungu

Utabaki kua Mungu (aah)

Wewe ni Mungu(aah), wewe ni Mungu(aah) wewe ni Mungu

Utabaki kua Mungu

Nitakutafuta daima(daima)

Nipate kukujua ulivo(ulivyo)

Mpaka mwili wangu ubadilishwe na wewe

Mpaka nafsi yangu iambatane na uwezo wako

Nitatembea na wewe(na wewe)

Nitakuishia milele(milele)

Wewe ni Mungu uliemtakatifu

Wewe ni Mungu mwenye kusifiwa

Ayaa aya aaya

Wewe ni Mungu(aah), wewe ni Mungu(aah) wewe ni Mungu

Utabaki kua Mungu (aah)

Wewe ni Mungu(aah), wewe ni Mungu(aah) wewe ni Mungu

Utabaki kua Mungu

Wewe ni Mungu(aah), wewe ni Mungu(aah) wewe ni Mungu

Utabaki kua Mungu (aah)

Wewe ni Mungu(aah), wewe ni Mungu(aah) wewe ni Mungu

Utabaki kua Mungu

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status