Jela Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Jela - Aslay
...
Tangu nifungwe sikuoni malayamwisho nilikuona mahakamani
Ulikuja kuniona nadhani Tangu niwe jera sijakuona tena
Vipi kulikoni kwani mm na ww tunatatizo gani
Unakula bata uraiani njoo unione nimezungukwa na vyuma
Njoo unione leleleleeeee