Mario Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Mario - Aslay
...
babe nipe nikatumie
nisipodeka kwako nikadeke wapi mie(nikadeke wapi *2)
ata kagari uninunulie
nataka kwa makali nipendeze nami ni wanisifie(wanisifiee)
nikitandani nifunge nafanya unalia kama bunye
wawivu wako sipendi nipe pesa mi nikale tu
nakufundisha mapenzii japo wanaupe washangaze
nakudatisha kishezi mpaka mume unamwona makosi
eeeeh
napata pata vitisho nikiwa kitaani(kitaani)
mumeo anataka kuniua ati kisa niini
uko ka ni na mweu wa mapenzi sina mweu wa kuudhi
ila akitaka ndondi aende ulingooniiii....baadae
nibebe kwa viheko kama mtotoooooh oooh kama mtoto
nipe pesa nikupe ukitakachoooooh ukitakacho
nibebe kwa miheko kama mtotoooooh kama mtoto
nipe pesa nikupe ukitakachooooh
haiiye maaama anataka pesa haaana
aliniomba toka jana hana sare aende zake kwenye ngooma
hhhm basi mpee si umekwenda botha kwenda na wale
akiinunaaa atamfanya zifungwe likizo
napata pata vitisho nikiwa kitaani
mumeo anataka kuniua ati kisa niiini eeh
kumbuka nina mweu wa mapenzi sina mweu wa kuudhi
ila akitaka ndondi aende ulingooni .....baadae
nibebe kwa miheko kama mtotoooh kama mtoto
nipe pesa nikupe ukitakachooooh (ukitakachoooo)*2
aaah
hii ngomario (ingomarioo) marioo(mariooh)
hii ngomariooo tabibu mkubwa penzi lakoo *2