Niwe Nawe Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Niwe Nawe - Aslay
...
Eh Jim
Mkubwa na wanae
Present Dogo Aslay
Kamua dogo karibu kwenye huu mcheze wewe
Mh eeowowo aah
Baby ee nataka uwe na mie
Kwani vicheche kwangu sumu
Baby ee nataka nikuoe ee
Nisha eka ahadi kwenye mizimu
Baby ee nataka uwe na mie
Kwani vicheche kwangu sumu
Kama ni usumbufu wanao binadamu
Basi vumilia usije leta wazimu
Unajua sana wazi hawa ni wazazii
Kwamba we ndo mpenzi nataka kua nami
Kama usumbufu wanao binadam
Basi vumilia husije leta wazimu
Unajua sana wazi hawa ni wazazii
Kwamba we ndo mpenzi naitaji kua nami
Ukinitosa mi ntabaki na nanii
Tulia nami nami baby
Kama makosa wanayo binadamu
Basi vumilia husije leta wazimu
Unajua sana wazi hawa ni wazazi
Tulia nami nami baby
Baby ee nataka uwe na mie
Kwani vicheche kwangu sumu
Baby ee nataka nikuoleya
Nisha weka ahadi kwenye mizimu
Tumaini langu niwe nawe mpka mwisho
Nikuite mke wangu pindi tunakula kiapo
Nikiwa nawe mpenzi wangu
Nahisi nipo kwenye pepo
Wendo wangu wendo wangu mpka kifo
Tumaini langu niwe nawe mpka mwisho
Nikuite mke wangu pindi tunakula kiapo
Nikiwa nawe mpenzi wangu
Nahisi nipo kwenye pepo
Wendo wangu wendo wangu mpka mwisho
Nikupe nn baby ili ubaki na mii
Ahhh aaahaa
Baby ee nataka uwe na mie
Kwani vicheche kwangu sumu
Baby ee nataka nikuoleya
Nisha weka ahadi kwenye mizimu
baby
Mmh mmh mmh
Aaah aaah mmh