
Nyamaza
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Nyamaza - Rayvanny
...
weka pombe sigara chini subiri tuonge Zima kijiti marijuana za nini ngoja tuonge mbona ulisema mengi ukitaka nipotee sa umefanya nini na ulisema nini Wala usijitete macho hayana pazia nilimuona navutia NAYE kanikubalia kumbe moyoni naumia DUNIA imejaa visanga ubinadamu umekua majanga tembo amefuga kwa Banda anataka kula kuku pia na vifaranga mungu tu akusamehe wewe ni Kama ndugu yangu upunguze mugali uadui wa nini mwenzangueeeee ukitenda kosa na ujaomba radhi unakosea kosea mama yake mzazi huruma ungemuonea onea chunga kinywa kiwe na kituo hekima ndo iwe funguo maneno ya nini unajivua nguo kumbuka ulimwengu ni Kama chuo ungenyamaza bora ungenyamaza
Similar Songs
More from Rayvanny
Listen to Rayvanny Nyamaza MP3 song. Nyamaza song from album Nyamaza is released in 2021. The duration of song is 00:03:26. The song is sung by Rayvanny.
Related Tags: Nyamaza, Nyamaza song, Nyamaza MP3 song, Nyamaza MP3, download Nyamaza song, Nyamaza song, Nyamaza Nyamaza song, Nyamaza song by Rayvanny, Nyamaza song download, download Nyamaza MP3 song
Comments (65)
New Comments(65)
Juliet kasolanih4zb8
bettyhba9p
I love it
Kule Nason
Nice hit
Ramona Soniaoqmg9
i love it
natashayo3z2
Fact nice song
evancwqe6
hio ni fact
leevathyb9b26
fact
Bete JohnNsy

Mamito6oojj
Ni kweli kimya ndio option in life
GEORGE KONDEaduqa
i love it
Bernicemqdk8
lit[0x1f623][0x1f621]
asiafcmsz
kaakimya
[0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e] love my [0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f623]