Loading...

Never Give Up
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Never Give Up - Harmonize
...
ooh noo
oh Lord have mercy
yeeh yeah yeah
konde boy
let me tell you my story
nimezaliwa mtwara Tanzania
huko kijijiini chitoholi
hapa mujini nimezamia
ndoto zilikuwa kucheza boli
mara ghafla kwa mziki zikahamia my daddy am sorry swara tano hukupenda uliposikia , kama utani sinikaanza kuimba mungu siadhumani nikapatana na simba akanipiga kampani japo kuna waliopinga kwamba sina kipaji , fitina za ndanindani mara hamo anavimba atapendwa na nani makonde watanda himba nikajipa kimani ipo siku nitashinda mana mola ndompaji , eeeehh now i make my paper (my paper) and i bless my family pole walionicheka (nicheka) enzi navaanga ka ndambili never never never (give up) (x3) usikate tamaa mana mungu anakuona never never never ( give up ) (x3) usikate tamaa angaika kila kona i remember mama told me my boy binadamu hawana wema watakuchekeaga usoniii ukiwapa kisogo wanakusema usihifadhi chuki moyoni yalipe mabaya kwa mema jifanye hukumbuki huyaoniii ndo maandiko yanavyosema nilimtanguliza mungu kwa sala , mara ghafla akaja mzungu sarah , thank you my baby, you love me you support me , i love you too , ishara tumaniga Joso mipango japo ulakichopa i got love for you nyama mkaripunda na mjajambo mwambie tunapita somikosto , najua maisha safari mi bado sijafikaga long way to go ila naiona afadhali kulala uhakika nakula sio kabefore , debe kazi si hali mbagala mtandika kimara na kariokoo ghetto na kibatari kiangazi masika ndio mvua vyote vyakoo now i make my paper (my paper) and i bless my family pole kwa walionicheka (nicheka) enzi navaanga ka ndambili never never never x3 ( give up ) usikate tamaa mana mungu anakuona never never never x3 (give up ) usikate tamaa angaika kila kona
Similar Songs
More from Harmonize
Listen to Harmonize Never Give Up MP3 song. Never Give Up song from album Never Give Up is released in 2021. The duration of song is 00:03:27. The song is sung by Harmonize.
Related Tags: Never Give Up, Never Give Up song, Never Give Up MP3 song, Never Give Up MP3, download Never Give Up song, Never Give Up song, Never Give Up Never Give Up song, Never Give Up song by Harmonize, Never Give Up song download, download Never Give Up MP3 song
Comments (72)
New Comments(72)
Atuhairwe Onesmus
Robert 5wjj6
Barnaboy musonda
wanyandofrankline
keymar Desantosi7ctf
mfuruamfoa
René4jtr7
toshabvjt7
FOOTBALLTUBE
Ayuen benja
Issa Allytn93z
saidh856e
