Kipenda Roho Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
VERSE 1
Miaka million... uuuh yeah
yeeeah eei
Kukupata we niliona maajabu..,niliteseka nilipata taabu.
Kuishi mbali nawe sio jawabu..,nilimwaga chozi lenye sababu.
Sababu ni wewe myboo.,kuishi mbali nawe sio jawabu.
Niliambiwa sina hadhi (hadhi yakuwa nawe)
uwezo wakukufanya ule ulalee napoteza muda wangu tuh
Mimi na wewe ni kama ndevu na kambale rahazizii iih.
Ona wachawi wanafumba macho,hawaamini hiki waonacho
Hawaamini we wakwangu nami wakwako.
eh
BRIDGE
ulinitesa sana we mtoto.,kuishi nawe naona kama ndoto (naotaa ah naotaah ah)
CHORUS
aa aaahh (wee kipenda roho) aaaah aaaaah (wee kipenda roho) weeeh mama mjengo (wee kipenda roho) mah! mamama kipenda roho (wee kipenda roho)
VERSE 2
Nipe nikupe yamoto moto
Zima taa tusake watoto
Tupate watoto kurwa na doto
Twende honeymoon maphoto photo
Tuwavimbie akina mpoto
Tufanye marumbuzi mapochopocho., mapochopoocho
Oh! Mimi nawe miaka million
mpaka atapotuchukua manani
we muache shekh atie ubani
tufunge pingu zamaisha honey
No.!! wife usitest life eh.,usije fanya nife baby ih iiih eeeh
Mimi nawe miaka million,mpaka atapotuchukua manani
we muache shekh atie ubani
tufunge pingu za maisha honey
BRIDGE
ulinitesa sana we mtoto
kuishi nawe naona kama ndotoooh
(naotaaa ah naotaa ah!)
REPEAT CHORUS