Hutegeki Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Hutegeki - Aslay
...
Hutegeki - aslay
...
Sawa mi siyo hadhi yako
Ila moyo ndo umekufa kwako
Ni mbaya hizo kauli zako
Eti mimi mtungi aruki yogo
(Unanichuna chuna tu vipesa vya mga nikisha kupaka vipesa du unanikataa
Unanichuna chuna tu vipesa vya mga nikisha kupaka vipesa mmh unanikataa
Nipende hata kwa kudanganya mama
Ukiniacha sitakuja kupenda tena aah
Si kwa manati
Si kwa mkuki
Si kwa bastola ye iyee
Hautegeki wu wu wu...
Hautegeki hata kwa silaha gani mama
Hautegeki Ooh napata tabu eeeeh
Ulinilaza kesti nikapiga simu sikupati
Baby mbona mkorofi na kwa nini unafeki promise
Hautegeki
Najilaani nikiwa na wenzangu
Kwamba wewe ndiyo mke wangu
Ila anajuwa mungu
Shida nazo pata
Kwako wewe wewe aki ya mungu nadata kwako wewe wewe nishakupa unachotaka
Mara vitu gani
Ukiwa na wenzako unataka sifa yani
Sababu vidogo wataka tugombane
Hizo tabia za mahani hani
Tutakosana) x2