Nusu Nusu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Nusu Nusu - Aslay
...
Mtoto nusunusu(aha aha nusunusu)
Nusu malaika nusu mutu( aha aha nusunusu)
Anamichezo ya ndumburu
Fujo kwenye godoro
Nyama laini kama kongoro
Ananipitisha kila chocholo
Nakaba reserve nilivyonawivu me kushea sitaki
Nawapa makavu vidume vya mbavu
Tunapendeza kinomaaaaa tunaendana
Atujashea wazazi lakini tunafanana
Simnene si mwembamba(aha aha nusunusu)
Sio wapemba sio watanga(aha aha nusunusu)
Chochote anaulamba( aha aha nusunusu)
Sio kwa dera sio kwa kanga(aha aha nusunusu)